yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
Huyu mchezaji anayecheza juventus ni wazi wakati wa kutundika daluga umefika ila bado anataka kubishana na mwili wake
Akili inataka mwili hautaki,
Siku hizi uwanjani amegeuka mdhururaji akisuburia magoli ya penalty lasivyo hafungi
Sikumbuki Mara ya mwisho ni lini alifunga mpira wa adhabu ndogo amekuwa kama rashford
Hana madhara uwanjani akifanyiwa mabadiliko ananuna mzee mzima anamnunia nani?
Pamoja na kubebwa kwenye tuzo mbili za mchezaji bora wa dunia ambazo akstahili messi bado hajaridhika tu?
Ashutuke astaafu mpira wa ushindani ipo siku washabiki wa juventus watamtolea uvivu kwa zomea zomea
Ukimwangalia kocha sarri anampanga kwa sababu za kibiashara tu ila hamkubali tena .msimu huu amefanyiwa mabadiliko zaidi ya maratatu hii inaonyesha kijana ameisha
Asisubiri azomewe aangalie kina zidane na kina paul scholes walivyosoma alama za ntakatunh
Asimwige Mesi. Mesi ni mungu wa mpira
Huyu kwa jinsi akivyoisha uwanjani atawagharimu juventus kukosa ubingwa wa serial A baada ya miaka saba mfululizo