Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubishi wa CR7 naupenda sana,pambana na jambo mpaka mwisho,roho inamuuma anajua hapati ila utashangaa ameibuka na kupambana kwa nguvu mpaka anarudi
Ataamka tu,anajua anachokifanyaYule ameshajichokea mkuu alizoea Madrid kutafuniwa yeye asukumize tu
Juventus wamemchoka kumtafunia
Tunaendelea tu kunyakua matuzo, uchawi baki nao bongoView attachment 1280478
World cup vipi???wachezaji wote wakubwa wamecheza timu tofauti kwa nini kanakazana Barcelona tu..wachezaji wote Barca wanakuwa watumwa wake ...
Kule timu ya taifa huwa anatembea kwenye boksi akisubiri mipira ya kichwa na mashut yaliyotemwa na goli kipa
Hata kudribble saizi anasubilia kwenye box tu........ha ha ha Cr7 wetu jamani!!Mkuu mpira sio mchezo wa kucheza chumbani
Ni mpira wa wazi! Yule hata kukimbia siku hizi ni tatizo
Kwa kweli...alikuwa ana force kumkimbiza messi hakuwa anajua kuwa mwenzie ni mzimu wa mpira
Hata kudribble saizi anasubilia kwenye box tu........ha ha ha Cr7 wetu jamani!!
Au aje YANGAAnatakiwa ahamie ligi zenye ushindani mdogo Kama vile mls