Cristiano Ronaldo anasubiria nini kustaafu? Au hadi aanze kuzomewa uwanjani ndio atakubali

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Huyu mchezaji anayecheza juventus ni wazi wakati wa kutundika daluga umefika ila bado anataka kubishana na mwili wake

Akili inataka mwili hautaki,

Siku hizi uwanjani amegeuka mdhururaji akisuburia magoli ya penalty lasivyo hafungi

Sikumbuki Mara ya mwisho ni lini alifunga mpira wa adhabu ndogo amekuwa kama rashford


Hana madhara uwanjani akifanyiwa mabadiliko ananuna mzee mzima anamnunia nani?

Pamoja na kubebwa kwenye tuzo mbili za mchezaji bora wa dunia ambazo akstahili messi bado hajaridhika tu?

Ashutuke astaafu mpira wa ushindani ipo siku washabiki wa juventus watamtolea uvivu kwa zomea zomea

Ukimwangalia kocha sarri anampanga kwa sababu za kibiashara tu ila hamkubali tena .msimu huu amefanyiwa mabadiliko zaidi ya maratatu hii inaonyesha kijana ameisha

Asisubiri azomewe aangalie kina zidane na kina paul scholes walivyosoma alama za ntakatunh

Asimwige Mesi. Mesi ni mungu wa mpira

Huyu kwa jinsi akivyoisha uwanjani atawagharimu juventus kukosa ubingwa wa serial A baada ya miaka saba mfululizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema jamaa aeleweki
Unaweza kuta baada ya mda kadhaa anapata magol kila mda
Ila ni dhahiri sahv hatishi sana
 
Jamaa achana na CR7 yule mifupa yake nikama ana miaka 22, kufunga ama kutofunga ni kawaida na nikipind cha mpito tu
 
Ndio hivyo akili ilikuwa inamtuma bado anakitu
Ila mwili umemgomea, siku hizi anajificha haombi hata pasi
Alikosea kwenda Juventus. Alitakiwa akale hela China au Marekani. Huko angelipwa bilioni 4 kila wiki
 
Kule timu ya taifa huwa anatembea kwenye boksi akisubiri mipira ya kichwa na mashut yaliyotemwa na goli kipa
Kuchoka kashachoka sema mifumo ya juve haimpi nafasi mbona akiwa taifa anakamua
 
Reactions: PNC
Siku hizi bila tuta hafungi

Na wachezaji wa juve naona wamechoka kumtafunia MTU afunge

Sio km Madrid ambapo kila pasi ya mwisho ilikuwa inaenda kwake
Juzi alifunga baada ya ukame toka october uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…