Cristiano Ronaldo anasubiria nini kustaafu? Au hadi aanze kuzomewa uwanjani ndio atakubali

Yule ameshajichokea mkuu alizoea Madrid kutafuniwa yeye asukumize tu

Juventus wamemchoka kumtafunia
Ubishi wa CR7 naupenda sana,pambana na jambo mpaka mwisho,roho inamuuma anajua hapati ila utashangaa ameibuka na kupambana kwa nguvu mpaka anarudi
 
Hivi wewe unaangalia mechi za Barcelona au Argentina?

Au nafanya convo na MTU asiyejua hata mpira!

Barcelona ndio inamtegemea Messi ...uchezaji wa messi kwa 98% ndio unachangia matokeo chanya kwa timu yake na timu ya Taifa

Kwahiyo usije ukaleta story za vijiweni hapa
World cup vipi???wachezaji wote wakubwa wamecheza timu tofauti kwa nini kanakazana Barcelona tu..wachezaji wote Barca wanakuwa watumwa wake ...
 
Ukweli mm kama shabiki wa juve og sio juve Ronaldo nafurahishwa sana na Juventus jinsi inavyocheza kwa sasa. Juve inabidi icheze kama juve sio icheze kwa kuweka imani na kila kitu afanye Ronaldo ili siku akiondoka timu ianze kuhuzunika. Msimu uliopita kila mpira ilikua Ronaldo tu na kumpa utukufu yeye. Sasa timu inacheza kama timu. Nilikua namshangaa alivyokua anamshauri dyabala aende man u ili Lukaku aje, kitendo kile kiliniudhi sana Yani pipita yupo alafu umlete Lukaku tena Dyabala aondoke ili tufulie, Bravo dyabala unapiga kazi nzuri na kumuonesha cr7 ww ni wamuhimu Juventus. Yeye ni kushauri tu mleteni flani sijui nani aje ili apalie kiwango chake tu. Hela nyingi zimetumika kwa De ligt alafu anatoa maboko bora hata acheze merih demiral aliyetoka sassuolo hatoi maboko. Kila timu unaaina yake ya mfumo wa uchezaji. Leo ukimleta Isco aje juve ni rahisi sana kushindwa kuendana na mfumo tofauti na Rodrigo Bentancur ambaye kashaizoea juve.
 
Huyo ndo atawakosesha juve ubingwa wa UCL wasiposhtuka mapema!!...kwisha habari yake!
 
Perez hakuwa mjinga kumruhusu aondoke pale Madrid,Cr7 kiwango chake kimeanza kushuka toka akiwa Madrid ila ubora wa viungo pale ulifanya ubovu wa cr7 usionekane hasa kwa wale mashabiki maandazi,Na kwa mwendo wa pale juve naona kabisa Cr7 atawakosesha vitu vingi,Huyu jamaa kachoka vibaya ila anaforce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…