Cristiano Ronaldo Asilimu na sababu ni ya kushangaza

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu kwa sauti ya utulivu na ya kupendeza. Ilikuwa ni wakati ambao ulipita mipaka ya michezo, na utkuwa ni gumzo la ulimwengu wote. Cristiano alifikaje mahali hapa? Ni nini kilichomfanya akubali Uislam?

Ilikuwa hadithi ya mabadiliko ya kiroho ambayo yalizidi matarajio yote, na kufungua mlango wa safari iliyojaa changamoto na kutafuta amani ya ndani. video:

View: https://youtu.be/mDPiY--nDRM?si=POk1ZTYaqb-1pVTx

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
 
Faiza buana....

Ukongwe wote huo unashindwa kujua kwamba hiyo si habari ya kweli!!

Kweli elimu ni kipengele sana, na mkitaka vitu kama hivi tafuteni vyanzo vya kuaminika na sio vinginevyo

Hatima yake mnaonekana vilaza ama vichwa maji (Ashakum si matusi)

Mpaka sasa bado haijawekwa wazi ukiacha uvumi, na siku ikiwa ivyo hutohitaji link za kifamba ili kujua kwani kuanzia Al Jazeera mpaka ZBC2 wataripoti
 
Cristino Ronaldo kaenda tafuta pesa huko Saudia, anacheza klabu ya soka Al Nassr FC, inamilikiwa na Prince wa Saudia mwenye networth almost 22B USD.

Cristiano anajua kucheza na fursa, hapo usishangae kusilimu tu akapewa nyongeza kubwa ya mshahara na zawadi kibao.

We uwe karibu na Prince wa Saudia si mchezo... Hapo jamaa kajua kucheza na akili za waarabu...
 
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu kwa sauti ya utulivu na ya kupendeza. Ilikuwa ni wakati ambao ulipita mipaka ya michezo, na utkuwa ni gumzo la ulimwengu wote. Cristiano alifikaje mahali hapa? Ni nini kilichomfanya akubali Uislam?

Ilikuwa hadithi ya mabadiliko ya kiroho ambayo yalizidi matarajio yote, na kufungua mlango wa safari iliyojaa changamoto na kutafuta amani ya ndani. video:

View: https://youtu.be/mDPiY--nDRM?si=POk1ZTYaqb-1pVTx

Anaweza kusoma leftwards?
 
Itakuwa habari ya uongo umeleta kuhamisha mjadala wa vipigo wanavyopata kobazi wa Gaza, Lebanon, Iran na Yemen.

Na hata kama ni kweli basi lilitarajiwa na wengi tangu awali (kwamba kuenda kwake kucheza mpira uarabuni basi atashawishiwa na kulubuniwa hadi aslim mjipatie faraja kwa kuslimisha 'mkristo jina' mmoja maarufu ulimwenguni).

Poor kobazi
 
Back
Top Bottom