HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Kwani umeambiwa mtu akisilim hawezi kurudi alikotoka??umeona hiyo ni issue kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu kwa sauti ya utulivu na ya kupendeza. Ilikuwa ni wakati ambao ulipita mipaka ya michezo, na utkuwa ni gumzo la ulimwengu wote. Cristiano alifikaje mahali hapa? Ni nini kilichomfanya akubali Uislam?
Ilikuwa hadithi ya mabadiliko ya kiroho ambayo yalizidi matarajio yote, na kufungua mlango wa safari iliyojaa changamoto na kutafuta amani ya ndani. video:
View: https://youtu.be/mDPiY--nDRM?si=POk1ZTYaqb-1pVTx
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Wewe lini utsajifundisha Qur'an?Hichi ndio unachoonaa inafaa kutuambia
Badala ya kuonyesha mahaba ulizonazo kwa akina Mkojani wenzako wanaoomboleza vifo vinavyoletwa na Taifa takatifuu ,Huna maana yoyote
Hiki kinawasaidiaje wakojani wenzanko huko Lebanoni ,Yemen na Pakistan
Dini hupofua mkuuFaiza buana....
Ukongwe wote huo unashindwa kujua hiyo si habari ya kweli!!
Ngoma bila kulewa tutaichezaje? Pekechu pekechu pekechu.Waislamu wamemununua kwa mabilioni ya dola kama mwenzie bondia Mohamed Ali awe muislamu
Wakristo huwa hatununui Waislamu wawe Wakristo na hatuna huo mpango na hauji kutokea. Kwa ahadi za fedha
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu kwa sauti ya utulivu na ya kupendeza. Ilikuwa ni wakati ambao ulipita mipaka ya michezo, na utkuwa ni gumzo la ulimwengu wote. Cristiano alifikaje mahali hapa? Ni nini kilichomfanya akubali Uislam?
Ilikuwa hadithi ya mabadiliko ya kiroho ambayo yalizidi matarajio yote, na kufungua mlango wa safari iliyojaa changamoto na kutafuta amani ya ndani. video:
View: https://youtu.be/mDPiY--nDRM?si=POk1ZTYaqb-1pVTx
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Wewe mama sijui bibi nipo hapa Denver wazee st.. kama habari yako ni ya kweli hutaniona JF.. Mmeishiwa.
Huyo bibi hana akili linapokuja suala la dini. Hana tofauti na Prof Assad na Dau yule fisadi wa zamani wa NSSFFaiza buana....
Ukongwe wote huo unashindwa kujua hiyo si habari ya kweli!!
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu kwa sauti ya utulivu na ya kupendeza. Ilikuwa ni wakati ambao ulipita mipaka ya michezo, na utkuwa ni gumzo la ulimwengu wote. Cristiano alifikaje mahali hapa? Ni nini kilichomfanya akubali Uislam?
Ilikuwa hadithi ya mabadiliko ya kiroho ambayo yalizidi matarajio yote, na kufungua mlango wa safari iliyojaa changamoto na kutafuta amani ya ndani. video:
View: https://youtu.be/mDPiY--nDRM?si=POk1ZTYaqb-1pVTx
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
View wa wapi wakati akijiunga tu YouTube anabreak internet?Anataka kuongeza viewers na fan base tu huyo