Huyu mama anamfatilia sana Ronaldo anatamani kweli kumuona kahamia uislamuni
mwaka jana alikuja na hiiii
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam. Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)? Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba...
mwaka huu katuletea tango pori lingine sijui kalitolea wapi,itakua faiza unakaaga vijiweni na wazee wenzio na naamini hao ndo wanaokujaza hewa kichwani.
Christiano ha slimu hata alipweje, Wakristo tuko wengi kuliko waislamu Hawezi wala kuthubutu kuja uislamuni we tulizana tu bibi angu,Muache mwenzio atengeneze mashabiki zake.