Cristiano Ronaldo Asilimu na sababu ni ya kushangaza

Waislamu wamemununua kwa mabilioni ya dola kama mwenzie bondia Mohamed Ali awe muislamu

Wakristo huwa hatununui Waislamu wawe Wakristo na hatuna huo mpango na hauji kutokea. Kwa ahadi za fedha
 
Hichi ndio unachoonaa inafaa kutuambia

Badala ya kuonyesha mahaba ulizonazo kwa akina Mkojani wenzako wanaoomboleza vifo vinavyoletwa na Taifa takatifuu ,Huna maana yoyote

Hiki kinawasaidiaje wakojani wenzanko huko Lebanoni ,Yemen na Pakistan
Wewe lini utsajifundisha Qur'an?

Mapadri wenye akili timamu washaanza kusoma Qur'an makanisani. Jionee👇🏾


View: https://vm.tiktok.com/ZMh6TyKKb/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok Lite - Save Data - Apps on Google Play
 
Waislamu wamemununua kwa mabilioni ya dola kama mwenzie bondia Mohamed Ali awe muislamu

Wakristo huwa hatununui Waislamu wawe Wakristo na hatuna huo mpango na hauji kutokea. Kwa ahadi za fedha
Ngoma bila kulewa tutaichezaje? Pekechu pekechu pekechu.
 

Ha ha ha cristiano kasilimu ila anaishi na demu wake saudi arabia na kamzalisha watoto kazaa

Je huo ndio uislam ?
 
Pamoja na kutofautiana Imani nilikuheshimu. Sikufikiria Kuna siku itakua msambaza dis-information. Bado una nafasi ya kufuta uongo. Uongo ni dhambi kwenye dini yangu na yako. Tafadhali jisahihishe.
 
Hata Mike Tyson alisilimu, lakini anamiliki mashamba ya bangi kihalali
 
YANI DUNIA INA WAPUMBAVU SANA HII.

NAISHIA KUKUONEA HURUMA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…