Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,877
- 2,314
Mbona huyu dogo kama anatastaafu vibaya? Mambo yake hayaendi vema hata kidogo. Sijui shida ni nini? Tatizo ni yeye au walimwengu wanamtengenezea zengwe?
Hiyo ni deal ya lala salama, Ronaldo muda wake kucheza soka umeisha. Umri umemtupa, ametendea haki Ubora wake.
Huyo wakala atafute kinda mwingine atembee naye, aachane na CR7💪