kila mtu ana namna yake ya kuchangia jamii, usiforce wafananeNyie huwa mnajuaje kama hajionyeshi... Kuna mtu kasema pia CR7 hana tattoo kwasababu hutoa sana damu.. Messi anatattoo sijui na hilo huwa hajionyeshi
Mbona messi anasaidia sana huko kwao argentina,ana hadi foundation inaitwa leo messi foundation kwa ajili ya kuwasaidia wenye kansa
Mesi mambo yake kama [HASHTAG]#AliKiba[/HASHTAG] apendi kujionyesha alafu wasio na kipaji, CR7 na Mondi wanapenda kujionyeshaNi nzuri sana. Hata messi pia anatoa lakini hajionyeshi
Nakuhakikishia hata buku hupatiHIVI LILE KOMBE LA TANZANIA BARA NA NGAO YA JAMII UKIUZA UTAPATA SHS NGAPI
Akili zako unazjua mwenyewe .........ila km kweli vile maana wote vitombi km mmMesi mambo yake kama [HASHTAG]#AliKiba[/HASHTAG] apendi kujionyesha alafu wasio na kipaji, CR7 na Mondi wanapenda kujionyesha
Messi amezaliwa na ugonjwa ambao hawezi kumchangia mtu damu akimchangia tu maana yake kamuambukiza, jifunze kubisha kwa hoja zenye mashiko na si kubahatishaNyie huwa mnajuaje kama hajionyeshi... Kuna mtu kasema pia CR7 hana tattoo kwasababu hutoa sana damu.. Messi anatattoo sijui na hilo huwa hajionyeshi
Hongeraaaa sanaaa mnyama siyo kamess kabinafsiiii
Asante au labda mnada ulipaswa kufanywa gizaniKwani huyo kajionesha au kaoneshwa...mzee unaelewa mnada kweli ebu ingia chumbani kwako fanya mnada basi
Kafanya poa ila hiyo bei mbona ndogo sana ilipaswa angalau iende kwenye billioni hata 2.5 maana huyo jamaa atakuja kupiga hela ndefu sana hapo
Ni kweli ni Mungu tu anayeniona.Mungu anakuona balibabambonahi.
Ni kweli ni Mungu tu anayeniona.
Bei ndogo sana labda habari si ya kweliBinafc nimeshangaa.
Bei ndogo sana labda habari si ya kweli
Au ni uzushi mi ni Ronado maana niko madrid mwanzo mwisho.Japo ni messi fan. Lakini hiyo bei sio ya kweli. Itakuwa wamechanganya