Cristiano Ronaldo auza tuzo yake ya Ballon d'Or

Cristiano Ronaldo auza tuzo yake ya Ballon d'Or

kila
Nyie huwa mnajuaje kama hajionyeshi... Kuna mtu kasema pia CR7 hana tattoo kwasababu hutoa sana damu.. Messi anatattoo sijui na hilo huwa hajionyeshi
kila mtu ana namna yake ya kuchangia jamii, usiforce wafanane
 
Mesi mambo yake kama [HASHTAG]#AliKiba[/HASHTAG] apendi kujionyesha alafu wasio na kipaji, CR7 na Mondi wanapenda kujionyesha
Akili zako unazjua mwenyewe .........ila km kweli vile maana wote vitombi km mm
 
Nyie huwa mnajuaje kama hajionyeshi... Kuna mtu kasema pia CR7 hana tattoo kwasababu hutoa sana damu.. Messi anatattoo sijui na hilo huwa hajionyeshi
Messi amezaliwa na ugonjwa ambao hawezi kumchangia mtu damu akimchangia tu maana yake kamuambukiza, jifunze kubisha kwa hoja zenye mashiko na si kubahatisha
 
Kwa nini kila CR7 akitajwa ni lazima, Mesi aingizwe?
Thread haimuhusu Messi lakini watu wanamuingiza Messi, yaani wabongo ni tabu tupu!
 
Kafanya poa ila hiyo bei mbona ndogo sana ilipaswa angalau iende kwenye billioni hata 2.5 maana huyo jamaa atakuja kupiga hela ndefu sana hapo
 
Back
Top Bottom