Cristiano Ronaldo (CR7) amvisha pete ya uchumba ya Bilioni 1.8 za Kitanzania mpenzi wake

Cristiano Ronaldo (CR7) amvisha pete ya uchumba ya Bilioni 1.8 za Kitanzania mpenzi wake

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Hatimaye mchezaji wa mpira wa migiuu wa timu ya Juventus ya Italia hatimaye amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Georgina.

Pete hio ya almasi ina thamani ya pesa za kitanzania Bilioni 1.8.

If you love her, why not!!!

Nani aje nimvishe hata ya milioni 100 tu !!

98838C3E-82A0-42B3-AAF6-2C908011A261.jpeg
 
She deserve that

Huyu demu katulia na jamaa mda mrefu sana halafu inaonekana Hana makuu kabisa

Kamzalia na mtoto anamsapoti jamaa sana

Wote tunajua CR7alikuwa kitombi Hadi akina Kim kadashian alipitaga nae[emoji2]

Safi sana CR7 uoe Sasa si unaona mwezako la pulga katulia saafi
 
CR7 ni noma ..pesa ni tamu haswa ukipata mwanamke anayekupenda na kukuheshimu..unaweza kumnunulia hata kisiwa
 
Jamaa anaukwasi wa zaidi ya 1$ billion. Yaani ni sawa una million mbili na laki tatu za kibongo utoe buku ununue maji ndio alichofanya hapo
[emoji1][emoji1][emoji1] Hatari sana ...wanaume tutafute pesa..mimi sina mengi sana ya kuongea.
 
Dah...nilikuwa nkiambiwa nioe umri mkubwa nilikuwa nasema kwa sauti kubwa huyo christiano ronaldo na mihela yake bado ajaoa mimi nina nini mpaka nioe....sasa naona mdhamini wangu anaenda kuniachia manyoya muda si mrefu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom