Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Rejea kichwa cha habar hapo juu:
′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako".
Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana na wewe." Mwisho tuliachana"
Nini maoni yako katika hili