Cristiano Ronaldo (kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na mlimbwende Irina Shayk)

Cristiano Ronaldo (kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na mlimbwende Irina Shayk)

Hakuna ttzo kama mama yako yuko na ww kila mahar ttzo ya nyie wanawake ni roho mbaya hakuna jingine
Baba naye anakuwa wapi kukaa na mkewe kama muda wote mtoto na mama yake?
 
Nikiwa kama mama always huwa nawaambia vijana wangu waheshimu sana wake zao maana hao ndio mama za watoto na hao ndio watabaki nao.
Mimi siku zangu zinahesabika umri umeenda hata leo nikisikia kijana wangu ni mgonjwa sitaweza kwenda kumuogesha ni huyo mke wake ndio anaweza.
Nikifa atabaki na huyo mke wake mimi ni mpitaji nime fanya kile Mungu alichonituma kufanya nimezaa na nimewapa maisha na upendo wangu wote. Acha nao walee familia zao.
Mimi nazeeka na la aziz wangu tunatunzana wenyewe uzeeni watoto wote wako busy na maisha yao.
Heshimu sana mwenzi wako huku uzeeni ndio atakupa furaha au akupe shubiri.
Watoto wa masingle mammy ndiyo wapo hivyo ,kama Baba yupo utambebisha mama kweli? Nafasi ya Baba je!
 
Umesema ukweli upendo wa mama kwa mtoto ni wa damu ila upendo kwa mke unaunganishwa na watoto wenu. Hata mama ako si ndugu wa babako but siku ukiona mama ako anamistreat babayako hutafurahia kabisa kwa kuwa baba na yeye ni damu yako.
Mke unakula nae kiapo kile kiapo huwa una ingia na Mungu so muwaheshimu sana na ndio maana tunawashauri nsiwe mnakurupuka wakati wa kuoa kaa chini angalia mke mwema. La sivyo utabaki unampenda mama yako tu.
Mara nyingi vijana wetu wanajisahau wanaona mke sio ndugu unakaa unabaki kumpenda mama yako ukifika uzeeni mama alishakufa umebaki na huyo mke na yeye mke anakuwa busy na watoto wao matokeo yake tunawapoteza kabla ya wakti.
Ndiyo hapo wapo busy na mama zao na mke anabaki kuwa busy na watoto wake, mwisho wa siku mama na wanawe Baba anabaki mpweke na lawama juu mke mjini miezi 2 kwa mwanaye ,kutesa kwa zamu.
 
Basi kila mtu atembee na. Mama yake kila mahali, msitake kufanya as wanawake nao hawana mama zao.

Mianaume mingine ni mijinga kweli.
Eti naenda na mama yangu kila mahali as mwenzio hana mama wa kuzunguka nae
 
Basi kila mtu atembee na. Mama yake kila mahali, msitake kufanya as wanawake nao hawana mama zao.

Mianaume mingine ni mijinga kweli.
Eti naenda na mama yangu kila mahali as mwenzio hana mama wa kuzunguka nae
Huyo dogo boya sana, utatembeaje na mama kila mahali?
 
Hata mm ningefukuzilia mbali na makofi juu. Hawa viumbe hawajui bila mama tusingefika hapa tulipo
 
Basi kila mtu atembee na. Mama yake kila mahali, msitake kufanya as wanawake nao hawana mama zao.

Mianaume mingine ni mijinga kweli.
Eti naenda na mama yangu kila mahali as mwenzio hana mama wa kuzunguka nae
Unakuta jitu na midevu uso mzima lakini halijielewi, Bible yenyewe inasema mtu atawaacha wazazi wake ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mwili mmoja, waoe mama zao ili kuepusha shari
 
Kama mama anatosha mnaoa kutafuta nini? Kaeni na mama zenu msitese watoto wa watu.
 
Rejea kichwa cha habar hapo juu:

′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako".

Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana na wewe." Mwisho tuliachana"

Nini maoni yako katika hili
Huyo siyo mpenzi bali gold digger. Wapo wengi siku hizi. Wewe nani kujilinganisha na mama wa mumeo? Vingine hata havijui uchungu wa kusukuma mtoto achia mbali kulea. Mke anayetaka kujilinganisha na mama yako si wa kuacha tu bila kumkung'uta kama huna akili nzuri ili akienda mama yake amuuguze ajue faida ya mama.
 
Rejea kichwa cha habar hapo juu:

′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako".

Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana na wewe." Mwisho tuliachana"

Nini maoni yako katika hili
Mbona haingii uwanjani au chumbani na mama yake huyo demu alitaka kumpanda Ronaldo kichwani. Hata kama ni mimi ningesitisha mkataba na huyo mrembo.
 
Ronaldo hajawahi fatana na mama yake kila sehemu uyo demu alikengeuka tu...kwanza Ronaldo haishi na mama yake nyumba moja anaishi na mpenzi wake na watoto wake, pili maza ake alikua anafatana nae kweny vitu za muhimu kama ugawaji wa tunzo na kweny mechi za muhimu ndo demu akaona hapati nafasi ila maza ndo anakua anatambulishwa zaidi kwa watu kweny matuzo
Mama yake Ronaldo anaishia huko ureno.

Cr7 anakaa uhispania

Wanakutana Mara moja moja .

Irina was a bitch sio ajabu hana life la kueleweka kwenye mahusiano.

Saivi kaangukia kwa chizi kanye west[emoji1787][emoji1787] amefata hela tu na umaarufu.
 
Back
Top Bottom