Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Hata mimi ningemchagua mama yangu....nyie mademu washenzi sana hata kama ni wake zetu...pambaf kabisaAlikosea hapo lazima uchague kati ya mimi na Mama yako ila jamaa nae alizidi kila mahari aiseee
Una nitukana mimi ndio mke wa Cristiano au una Stress za Maisha unatafuta pa kuzitulia mkuuHata mimi ningemchagua mama yangu....nyie mademu washenzi sana hata kama ni wake zetu...pambaf kabisa
huyo yupo kama mimi, hata mke wangu tukija suala la maza huwa anajadili kwa makini sana kwasababu anajua anagusa kwenye moyo. I love my wife, na watoto wangu, lakini wote wajue kwa miezi 9 nilikuwa natumia damu ya mama yangu, nilikuwa nakula anavyokula, amenisafisha hadi kinyesi, nimemnyea na kumkojolea sana, amevumilia mengi sana, alinipenda sana, hata nilipokuwa mkubwa alionyesha upendo wake wote, hadi leo anaonyesha upendo wake wote, nipo moyoni mwake na yeye yupo kwangu kwasababu tulikuwa mwili mmoja awali. niliishi tumboni mwake. mimi ni last born, nafikiri mnaelewa nikiongea hivi.Rejea kichwa cha habar hapo juu:
′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako".
Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana na wewe." Mwisho tuliachana"
Watz ur view katika hili
Umenena vema sana bro mpende sana maza na mungu akubariki kwa upendohuyo yupo kama mimi, hata mke wangu tukija suala la maza huwa anajadili kwa makini sana kwasababu anajua anagusa kwenye moyo. I love my wife, na watoto wangu, lakini wote wajue kwa miezi 9 nilikuwa natumia damu ya mama yangu, nilikuwa nakula anavyokula, amenisafisha hadi kinyesi, nimemnyea na kumkojolea sana, amevumilia mengi sana, alinipenda sana, hata nilipokuwa mkubwa alionyesha upendo wake wote, hadi leo anaonyesha upendo wake wote, nipo moyoni mwake na yeye yupo kwangu kwasababu tulikuwa mwili mmoja awali. niliishi tumboni mwake. mimi ni last born, nafikiri mnaelewa nikiongea hivi.
wife ameamua ampende mamangu kwa moyo wote, na huwa ananikumbusha huduma kwake zile ambazo nimetingwa. wakati nasoma sekondari alikuwa anauza vikuku vyake ananiwekea pesa mfukoni kwa sairi hata dingi ihajui na yeye anabaki na pesa kidogo, kipindi cha njaa alikuwa lazima alikuwa anaweka hazina ya kunilisha mimi hata kama wakubwa zangu hawatashiba sana. kifupi, alinipenda upendo wote, sasahivi ni mtu mzima sana na ni zamu yake kufaidi matunda yangu.
Kwani yeye mkeo hakuzaliwa na mama yake? Alishuka tuu?huyo yupo kama mimi, hata mke wangu tukija suala la maza huwa anajadili kwa makini sana kwasababu anajua anagusa kwenye moyo. I love my wife, na watoto wangu, lakini wote wajue kwa miezi 9 nilikuwa natumia damu ya mama yangu, nilikuwa nakula anavyokula, amenisafisha hadi kinyesi, nimemnyea na kumkojolea sana, amevumilia mengi sana, alinipenda sana, hata nilipokuwa mkubwa alionyesha upendo wake wote, hadi leo anaonyesha upendo wake wote, nipo moyoni mwake na yeye yupo kwangu kwasababu tulikuwa mwili mmoja awali. niliishi tumboni mwake. mimi ni last born, nafikiri mnaelewa nikiongea hivi.
wife ameamua ampende mamangu kwa moyo wote, na huwa ananikumbusha huduma kwake zile ambazo nimetingwa. wakati nasoma sekondari alikuwa anauza vikuku vyake ananiwekea pesa mfukoni kwa sairi hata dingi ihajui na yeye anabaki na pesa kidogo, kipindi cha njaa alikuwa lazima alikuwa anaweka hazina ya kunilisha mimi hata kama wakubwa zangu hawatashiba sana. kifupi, alinipenda upendo wote, sasahivi ni mtu mzima sana na ni zamu yake kufaidi matunda yangu.
Hata mie nimeliona hilo uwasilishaji, hata yeye watoto wake wanampenda vile vile mama yao .Nafikiri uwasilishaji haukuwa mzuri.. haikuwa busara kumwambia achague kati ya mama na mke
lakini pia sioni mantiki ya ronaldo kufatana na mama kila sehemu
Mkwe kama mkwe.Mama ni mama na mke na mke...
Hawa watu sio maembe kwamba unachagua lililonona na unaacha lililorojeka/haribika...
Huyo mwanadada aliyeuliza hivyo boyfriend wake labda alishawishika na wivu au pengine hakuwa akipewa nafasi wakati uliopaswa kupewa nafasi...
kwani tatizo hapo liko wapi kumthamini mtu alie kulea ni jambo la kheri sana..Alikosea hapo lazima uchague kati ya mimi na Mama yako ila jamaa nae alizidi kila mahari aiseee