FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 700
- 828
HUYU MWANAMKE NI SHETANI KABISA.NINGELIKUWA MIMI NINGELIMZAWADIA NA KOFI 1 AMAIZING.Rejea kichwa cha habar hapo juu:
′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako".
Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana na wewe." Mwisho tuliachana"
Nini maoni yako katika hili
Huyo demu anamaanisha hata anaponyanduliwa mama mkwe huwa yupo?Nafikiri uwasilishaji haukuwa mzuri.. haikuwa busara kumwambia achague kati ya mama na mke
lakini pia sioni mantiki ya ronaldo kufatana na mama kila sehemu
Chumbani kwani walikua naye??Alikosea hapo lazima uchague kati ya mimi na Mama yako ila jamaa nae alizidi kila mahari aiseee
Hakuna ttzo kama mama yako yuko na ww kila mahar ttzo ya nyie wanawake ni roho mbaya hakuna jingineAlikosea hapo lazima uchague kati ya mimi na Mama yako ila jamaa nae alizidi kila mahari aiseee
Ronaldo hajawahi fatana na mama yake kila sehemu uyo demu alikengeuka tu...kwanza Ronaldo haishi na mama yake nyumba moja anaishi na mpenzi wake na watoto wake, pili maza ake alikua anafatana nae kweny vitu za muhimu kama ugawaji wa tunzo na kweny mechi za muhimu ndo demu akaona hapati nafasi ila maza ndo anakua anatambulishwa zaidi kwa watu kweny matuzoNafikiri uwasilishaji haukuwa mzuri.. haikuwa busara kumwambia achague kati ya mama na mke
lakini pia sioni mantiki ya ronaldo kufatana na mama kila sehemu
Inategemea unafatana nae wapi na kwa misingi ipi ko sehemu kama za tuzo sio busara kumfata??Mambo ya kufuatana na mama kila sehemu kwa mtu mzima mwanamume ni umama.
huyo yupo kama mimi, hata mke wangu tukija suala la maza huwa anajadili kwa makini sana kwasababu anajua anagusa kwenye moyo. I love my wife, na watoto wangu, lakini wote wajue kwa miezi 9 nilikuwa natumia damu ya mama yangu, nilikuwa nakula anavyokula, amenisafisha hadi kinyesi, nimemnyea na kumkojolea sana, amevumilia mengi sana, alinipenda sana, hata nilipokuwa mkubwa alionyesha upendo wake wote, hadi leo anaonyesha upendo wake wote, nipo moyoni mwake na yeye yupo kwangu kwasababu tulikuwa mwili mmoja awali. niliishi tumboni mwake. mimi ni last born, nafikiri mnaelewa nikiongea hivi.
wife ameamua ampende mamangu kwa moyo wote, na huwa ananikumbusha huduma kwake zile ambazo nimetingwa. wakati nasoma sekondari alikuwa anauza vikuku vyake ananiwekea pesa mfukoni kwa sairi hata dingi ihajui na yeye anabaki na pesa kidogo, kipindi cha njaa alikuwa lazima alikuwa anaweka hazina ya kunilisha mimi hata kama wakubwa zangu hawatashiba sana. kifupi, alinipenda upendo wote, sasahivi ni mtu mzima sana na ni zamu yake kufaidi matunda yangu.
Umeandika mambo mazito sana...umetisha[emoji1666]huyo yupo kama mimi, hata mke wangu tukija suala la maza huwa anajadili kwa makini sana kwasababu anajua anagusa kwenye moyo. I love my wife, na watoto wangu, lakini wote wajue kwa miezi 9 nilikuwa natumia damu ya mama yangu, nilikuwa nakula anavyokula, amenisafisha hadi kinyesi, nimemnyea na kumkojolea sana, amevumilia mengi sana, alinipenda sana, hata nilipokuwa mkubwa alionyesha upendo wake wote, hadi leo anaonyesha upendo wake wote, nipo moyoni mwake na yeye yupo kwangu kwasababu tulikuwa mwili mmoja awali. niliishi tumboni mwake. mimi ni last born, nafikiri mnaelewa nikiongea hivi.
wife ameamua ampende mamangu kwa moyo wote, na huwa ananikumbusha huduma kwake zile ambazo nimetingwa. wakati nasoma sekondari alikuwa anauza vikuku vyake ananiwekea pesa mfukoni kwa sairi hata dingi ihajui na yeye anabaki na pesa kidogo, kipindi cha njaa alikuwa lazima alikuwa anaweka hazina ya kunilisha mimi hata kama wakubwa zangu hawatashiba sana. kifupi, alinipenda upendo wote, sasahivi ni mtu mzima sana na ni zamu yake kufaidi matunda yangu.
hi kitu inakuja natural, mama nimeishi naye hadi napata akili, wakati mke naishi naye nikiwa na meno 32 huko kila mmoja kalelewa kwao, tunampenda mama kwasababu ya asili, kuna connection ya damu. mke t unampenda kawaida lakini sio kama mama ndio maana unaweza kumpa mke talaka lakini huwezi kumpa mama,unaweza kumpiga mke kibao ila huwezi kumpiga mama na mtu yeyote anayempiga mama unawezamfanya kitu mbaya bila hata kutegemea. mke ni mke ana nafasi yake, ila ukigusa mama, hata ukataze watoto wako wasikuweke moyoni hawatajipendea kwasababu ni kitu cha asili, cha damu kabisa. mke anaweza kukupasua kichwa, mama sio rahis kukupasua kichwa. hahaha.Nikiwa kama mama always huwa nawaambia vijana wangu waheshimu sana wake zao maana hao ndio mama za watoto na hao ndio watabaki nao.
Mimi siku zangu zinahesabika umri umeenda hata leo nikisikia kijana wangu ni mgonjwa sitaweza kwenda kumuogesha ni huyo mke wake ndio anaweza.
Nikifa atabaki na huyo mke wake mimi ni mpitaji nime fanya kile Mungu alichonituma kufanya nimezaa na nimewapa maisha na upendo wangu wote. Acha nao walee familia zao.
Mimi nazeeka na la aziz wangu tunatunzana wenyewe uzeeni watoto wote wako busy na maisha yao.
Heshimu sana mwenzi wako huku uzeeni ndio atakupa furaha au akupe shubiri.
huyo yupo kama mimi, hata mke wangu tukija suala la maza huwa anajadili kwa makini sana kwasababu anajua anagusa kwenye moyo. I love my wife, na watoto wangu, lakini wote wajue kwa miezi 9 nilikuwa natumia damu ya mama yangu, nilikuwa nakula anavyokula, amenisafisha hadi kinyesi, nimemnyea na kumkojolea sana, amevumilia mengi sana, alinipenda sana, hata nilipokuwa mkubwa alionyesha upendo wake wote, hadi leo anaonyesha upendo wake wote, nipo moyoni mwake na yeye yupo kwangu kwasababu tulikuwa mwili mmoja awali. niliishi tumboni mwake. mimi ni last born, nafikiri mnaelewa nikiongea hivi.
wife ameamua ampende mamangu kwa moyo wote, na huwa ananikumbusha huduma kwake zile ambazo nimetingwa. wakati nasoma sekondari alikuwa anauza vikuku vyake ananiwekea pesa mfukoni kwa sairi hata dingi ihajui na yeye anabaki na pesa kidogo, kipindi cha njaa alikuwa lazima alikuwa anaweka hazina ya kunilisha mimi hata kama wakubwa zangu hawatashiba sana. kifupi, alinipenda upendo wote, sasahivi ni mtu mzima sana na ni zamu yake kufaidi matunda yangu.
hi kitu inakuja natural, mama nimeishi naye hadi napata akili, wakati mke naishi naye nikiwa na meno 32 huko kila mmoja kalelewa kwao, tunampenda mama kwasababu ya asili, kuna connection ya damu. mke t unampenda kawaida lakini sio kama mama ndio maana unaweza kumpa mke talaka lakini huwezi kumpa mama,unaweza kumpiga mke kibao ila huwezi kumpiga mama na mtu yeyote anayempiga mama unawezamfanya kitu mbaya bila hata kutegemea. mke ni mke ana nafasi yake, ila ukigusa mama, hata ukataze watoto wako wasikuweke moyoni hawatajipendea kwasababu ni kitu cha asili, cha damu kabisa. mke anaweza kukupasua kichwa, mama sio rahis kukupasua kichwa. hahaha.
wewe unafuatana na mama yako kila mahali?Hata mimi ningemchagua mama yangu....nyie mademu washenzi sana hata kama ni wake zetu...pambaf kabisa
issue ya upendo ni pana sana, kwa mke na kwa mume, wala usiharibu mada hii. kwenye hizi ndoa kuna tabia nyingiiii sana na kila mtu ana madhaifu mengi sana, kuna mengine unaweza kuyavumilia ila mengine huwezi. lakini yote katika yote thamani ya mama ni kubwa kuliko thamani ya mke. mimi ni mwanaume nina watoto, watoto wangu kama wanne wanampenda zaidi mama yao, mmoja wa kike ndio humwambii kitu kuhusu mimi mamake anamweka pembeni. hao wanaompenda zaidi mama siwalaumu kwasababu hata mimi nampenda zaidi mamangu. kuna mambo unaweza kumvumilia mama ila huwezi vumilia kwa mtu uliyekutana naye ukubwani. kuna ndoa zingine upendo upo kwasababu tendo la ndoa linafanyika vizuri, zingine upendo upo kwasababu pesa ipo, zingine upendo upo kwasababu ya mazuri kadhaa ambayo kila mtu kamfanyia mwingine,lakini yote hayo huwa inawezekana likafanyika kosa moja tu yakafutika na mkaachana, ila maza huwezi kumwacha hata kama atafanya kitu kibaya, hata akiwa mchawi ni mamako tu, akiwa mzinzi ni mamako tu, akiwa jambazi ni mamako tu na utamsapoti kwasababu utaamini alifanya hivyo ili akulee, akiwa malaya ni mamako tu na utampenda, akiwa na kiburi na dharau utampenda tu na utamtetea. ila mke akiwa mchawi, akiwa malaya, akiwa mzinzi, akiwa na dharau tupa kule.Umesema ukweli upendo wa mama kwa mtoto ni wa damu ila upendo kwa mke unaunganishwa na watoto wenu. Hata mama ako si ndugu wa babako but siku ukiona mama ako anamistreat babayako hutafurahia kabisa kwa kuwa baba na yeye ni damu yako.
Mke unakula nae kiapo kile kiapo huwa una ingia na Mungu so muwaheshimu sana na ndio maana tunawashauri nsiwe mnakurupuka wakati wa kuoa kaa chini angalia mke mwema. La sivyo utabaki unampenda mama yako tu.
Mara nyingi vijana wetu wanajisahau wanaona mke sio ndugu unakaa unabaki kumpenda mama yako ukifika uzeeni mama alishakufa umebaki na huyo mke na yeye mke anakuwa busy na watoto wao matokeo yake tunawapoteza kabla ya wakti.
hata kama sifuatani, ila iyo kauli ya kuniambia nichague mama na yeye tu inatosha kumpa jibu la moja kwa moja kwamba, mama ni wa thamani kwangu kuliko wewe. halafu awe makini nisije mlima kibao kunambia kitu kama icho (kidding, huwa sipigi wanawake)wewe unafuatana na mama yako kila mahali?
Ni kweli na ronaldo yuko sahihi.maana pengo la mzazi halizibiki ila pengo la mpenzi unaziba.Mama unakua naye mmoja tu maisha yako yote ila mpenzi nikiasi chakujiamulia.Na kila chenye uhai kina mzazi ila sio lazima chenye uhai kua na mpenzi.hata kama sifuatani, ila iyo kauli ya kuniambia nichague mama na yeye tu inatosha kumpa jibu la moja kwa moja kwamba, mama ni wa thamani kwangu kuliko wewe. halafu awe makini nisije mlima kibao kunambia kitu kama icho (kidding, huwa sipigi wanawake)
umenikumbusha mbali, kwamba sasahivi nikisema niweke kwenye lory wanawake niliowahi kuwapenda, linajaa, huyu niliye naye aliagawiwa tu. wapenzi maishani nilishakuwa nao wengi, ila mama ni mmoja tu, afu mtu aje anyooshe kimdomo chake sijui nini nini, mbona atakuwa anatafuta ugomvi.Ni kweli na ronaldo yuko sahihi.maana pengo la mzazi halizibiki ila pengo la mpenzi unaziba.Mama unakua naye mmoja tu maisha yako yote ila mpenzi nikiasi chakujiamulia.Na kila chenye uhai kina mzazi ila sio lazima chenye uhai kua na mpenzi.
Tatizo lakuolewa na watoto wa masingle mammy konkodiMambo ya kufuatana na mama kila sehemu kwa mtu mzima mwanamume ni umama.
Yawezekana itakuwa kila wanapo taka kunyanduana mama naye anajua [emoji3][emoji3]Huyo demu anamaanisha hata anaponyanduliwa mama mkwe huwa yupo?