Kwa maneno ya vince mwenyewe wwe ni scripted based entertainment ila kwenye kuumia wanaumia kweli.MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota...
Ndio, mgeni wa heshima.... Ndio atazindua pambano kwa kuzichapa na John Cena... Huko sio Tanzania kwamba unaitwa mgeni wa heshima kukaa kwenye vitu tu, Ronaldo atazichapa John Cena ili kuburudisha na kuvutia wawekezajiCR7 anahudhuria kama Guest of Honour. Unaelewa maana yake?
Hela za kupachangamsha wanazoYes... Waarabu wanataka uarabuni napo pachangamke.
Vipi maoni yako kuhusu waarabu nao kujitungua kupelekea michezo kwao ambapo mwanzo ilikuwa inapigwa marufuku...?WWE Kawaida kwa vile ni scripted ili kuvutia pambano hapo CR7 anaweza kushinda ...Mechi inakuwa staged mwanzo kabisa mshindi anajulikana sasa wanafanya rehearsal ila mshindi anajulika.
Kwa wanaojua mieleke mpaka Donald trumpth washaonekana ,Myweather ,snoop doggy na sasa wamemsajili jake paulo kabisa anapigana mieleka.
Hiyo ni chai yenye sukari nyingiUnataka Chai au