CRISTIANO RONALDO na JOHN CENA kuzichapa ngumi nchini Saudi Arabia

CRISTIANO RONALDO na JOHN CENA kuzichapa ngumi nchini Saudi Arabia

Nani atamchapa mwenzake Ndoige?

  • Total voters
    7
  • Poll closed .
Kwahiyo mleta mada unaamini WWE wanaenda Saudi Arabia kwaajili ya Ronaldo?
Hakuna sehemu niliyosema wanaenda Saudi Arabia kwa ajili ya Ronaldo... Wanaenda ku-promote mchezo wa Mieleka nchini humo... Na Ronaldo akitumiwa kama muhamasishaji na mvutia wawekezaji
 
Vipi maoni yako kuhusu waarabu nao kujitungua kupelekea michezo kwao ambapo mwanzo ilikuwa inapigwa marufuku...?
Sio mara ya kwanza😅😅na waarabu hawajwahi kuna na marufuku hiyo labda iran ila sio saudi ....Kuna mechi ya kusaini mkataba kati ya kane na john cena ilikuwa huko ni kitambo sana.

Mbona uwanja upo na mapambano yanapigwa sana huko Abu dhabi fuatilia kila kitu wanaweza kuhost kama boxing ,mieleka nahisi itakuwa huko huko Abu dhabi
 
Kivipi... Mi naona tunapeleka wenzetu Uzunguni na urabuni ku-boost michezo yao, huku sisi tukibaki tunawewesuka kama tumepigwa ngumi ya peresu peresu
Ishu ni hela mkuu unadhani bila kuwa na kibunda hayo yote wafanyayo yangewezekana?
 
Sio mara ya kwanza😅😅na waarabu hawajwahi kuna na marufuku hiyo labda iran ila sio saudi ....Kuna mechi ya kusaini mkataba kati ya kane na john cena ilikuwa huko ni kitambo sana.

Mbona uwanja upo na mapambano yanapigwa sana huko Abu dhabi fuatilia kila kitu wanaweza kuhost kama boxing ,mieleka nahisi itakuwa huko huko Abu dhabi
Kwa hiyo na sisi Wabongo nyoso lini tuta-host WWE championship... Au tuendelee kunywa Alikasusu mujarabu
 
Ishu ni hela mkuu unadhani bila kuwa na kibunda hayo yote wafanyayo yangewezekana?
Ishu maokoto... Of coz, Afrika hapa nchi ya South Africa ndio naona wana-host pia michuano ya WWE... Bongo nyoso tunafeli wapi kuwaleta WWE pale kwa Mkapa 😂
 
Ishu maokoto... Of coz, Afrika hapa nchi ya South Africa ndio naona wana-host pia michuano ya WWE... Bongo nyoso tunafeli wapi kuwaleta WWE pale kwa Mkapa 😂
Kwa mkapa 😂😂
Si mnataka mechi zisichezeke kabisa
 
Kwa hiyo na sisi Wabongo nyoso lini tuta-host WWE championship... Au tuendelee kunywa Alikasusu mujarabu
Uwekezaji bado tuko nyuma ,unaweza kudharau ila hilo suala linakuza uchumi sisi tunaona mpira ndio kila kitu ila bado uwekezaji kweny huo mpira ni mbovu.

Kuna msela wangu anacheza ligi ya mtaani huko arabuni huku bongo kajenga na analipwa kuzidi hata wachezaji wa simba baadhi ...Ila kadanganya umri😅😅ni mkubwa akaribia miaka 30 ila kuna wanajua yupo under 18 ila mwili wake ni mdogo sana.
 
Kwani hii WWE wanayo mapigano ya ukweli?
Siyo ya ukweli na hili nalijua. Lakini acting ya aina ile wewe na mimi tunaweza kuifanya? Ronaldo anaweza kuifanya? Ile ni acting yenye ukweli ndani yake.
 
Siyo ya ukweli na hili nalijua. Lakini acting ya aina ile wewe na mimi tunaweza kuifanya? Ronaldo anaweza kuifanya? Ile ni acting yenye ukweli ndani yake.
Ile kitu inaandaliwa kama movie vile kwahiyo Unapata maelekezo yote nini ufanye na nini usifanye kwahyo hakuna cha kushindwa
 
_20230922_214510.JPG
 
Back
Top Bottom