Hakuna sehemu niliyosema wanaenda Saudi Arabia kwa ajili ya Ronaldo... Wanaenda ku-promote mchezo wa Mieleka nchini humo... Na Ronaldo akitumiwa kama muhamasishaji na mvutia wawekezajiKwahiyo mleta mada unaamini WWE wanaenda Saudi Arabia kwaajili ya Ronaldo?
Afrika wanajitahidiAlafu Afrika miyeyusho tu ๐
Kwani hii WWE wanayo mapigano ya ukweli?Wala haitanoga. Sisi tunataka mapgano ya ukweli siyo haya ya kisanii.
Sio mara ya kwanza๐ ๐ na waarabu hawajwahi kuna na marufuku hiyo labda iran ila sio saudi ....Kuna mechi ya kusaini mkataba kati ya kane na john cena ilikuwa huko ni kitambo sana.Vipi maoni yako kuhusu waarabu nao kujitungua kupelekea michezo kwao ambapo mwanzo ilikuwa inapigwa marufuku...?
Ishu ni hela mkuu unadhani bila kuwa na kibunda hayo yote wafanyayo yangewezekana?Kivipi... Mi naona tunapeleka wenzetu Uzunguni na urabuni ku-boost michezo yao, huku sisi tukibaki tunawewesuka kama tumepigwa ngumi ya peresu peresu
Kwa hiyo na sisi Wabongo nyoso lini tuta-host WWE championship... Au tuendelee kunywa Alikasusu mujarabuSio mara ya kwanza๐ ๐ na waarabu hawajwahi kuna na marufuku hiyo labda iran ila sio saudi ....Kuna mechi ya kusaini mkataba kati ya kane na john cena ilikuwa huko ni kitambo sana.
Mbona uwanja upo na mapambano yanapigwa sana huko Abu dhabi fuatilia kila kitu wanaweza kuhost kama boxing ,mieleka nahisi itakuwa huko huko Abu dhabi
Ishu maokoto... Of coz, Afrika hapa nchi ya South Africa ndio naona wana-host pia michuano ya WWE... Bongo nyoso tunafeli wapi kuwaleta WWE pale kwa Mkapa ๐Ishu ni hela mkuu unadhani bila kuwa na kibunda hayo yote wafanyayo yangewezekana?
Kwa mkapa ๐๐Ishu maokoto... Of coz, Afrika hapa nchi ya South Africa ndio naona wana-host pia michuano ya WWE... Bongo nyoso tunafeli wapi kuwaleta WWE pale kwa Mkapa ๐
Uwekezaji bado tuko nyuma ,unaweza kudharau ila hilo suala linakuza uchumi sisi tunaona mpira ndio kila kitu ila bado uwekezaji kweny huo mpira ni mbovu.Kwa hiyo na sisi Wabongo nyoso lini tuta-host WWE championship... Au tuendelee kunywa Alikasusu mujarabu
Siyo ya ukweli na hili nalijua. Lakini acting ya aina ile wewe na mimi tunaweza kuifanya? Ronaldo anaweza kuifanya? Ile ni acting yenye ukweli ndani yake.Kwani hii WWE wanayo mapigano ya ukweli?
Siyo ya ukweli. Lakini unadhani Ronaldo anaweza kufanya ile?Kwani hii WWE wanayo mapigano ya ukweli?
Ile kitu inaandaliwa kama movie vile kwahiyo Unapata maelekezo yote nini ufanye na nini usifanye kwahyo hakuna cha kushindwaSiyo ya ukweli na hili nalijua. Lakini acting ya aina ile wewe na mimi tunaweza kuifanya? Ronaldo anaweza kuifanya? Ile ni acting yenye ukweli ndani yake.
Ataweza maana hatotoka mbinguni tu na kuja kufanya atapewa mafunzo na taratibu zote kwani nini kipyaSiyo ya ukweli. Lakini unadhani Ronaldo anaweza kufanya ile?
NakaziaWala haitanoga. Sisi tunataka mapgano ya ukweli siyo haya ya kisanii.