Cristiano Ronaldo ni mchezaji hatari zaidi, takwimu hazidanganyi

Cristiano Ronaldo ni mchezaji hatari zaidi, takwimu hazidanganyi

Ronaldo imemchukua mechi 286 kufunga goli 300 la liga.
Wakati messi ilibid acheze mechi 324
Ronaldo kaja Madrid akiwa katika ubora tayari, Messi alikuwa bado na akina Gaucho, Deco n.k
 
Ronaldo kaja Madrid akiwa katika ubora tayari, Messi alikuwa bado na akina Gaucho, Deco n.k
Messi kaanza kacheza barca 2005 mechi kubwa ya ulaya alicheza dhid ya Chelsea Stamford bridge wakat Ronaldo hata bench la united hakai
 
IMG_20180307_183033_788.jpg
 
Uefa most assist
zamani tulikuwa tunaambiwa Ronaldo mchoyo, Messi anagawia wenzake mapande.

Pamoja na Messi kucheza na wachezaji Hatari kama suarez na Neymar ila amepitwa Assist na Ronaldo ambaye anacheza na kina isco, Asensio, bale, benzema etc ambao hawalijui sana goli.

Uefa Top assist.

1. Ronaldo 33
2. Giggs 30
3. messi 25
 
Ronaldo ilimchukua mechi 855 kupata goli 600
Messi imemchukua mechi 747 kufikia magoli 600
je wajua ronaldo kwa sasa ana magoli mengi uefa kuliko timu nzima ya barca
 
Back
Top Bottom