Ronaldo kaja Madrid akiwa katika ubora tayari, Messi alikuwa bado na akina Gaucho, Deco n.kRonaldo imemchukua mechi 286 kufunga goli 300 la liga.
Wakati messi ilibid acheze mechi 324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo kaja Madrid akiwa katika ubora tayari, Messi alikuwa bado na akina Gaucho, Deco n.kRonaldo imemchukua mechi 286 kufunga goli 300 la liga.
Wakati messi ilibid acheze mechi 324
Mleta mada naomba upitie hapa.Ronaldo ilimchukua mechi 855 kupata goli 600
Messi imemchukua mechi 747 kufikia magoli 600
kavizie na wwMviziaji tu yule
Moroko alikuwa anafuata nini kila wiki?Ronaldo sio mmoroco ni mreno!! Tuliza mihemko!
Umeanza kufuatilia mpira lini mkuu..!??Messi ana miaka mingapi anakipiga huko La Liga?
Nadhani kabla hujafika standard fourUmeanza kufuatilia mpira lini mkuu..!??
Kavizie na weweMviziaji tu yule
zamani tulikuwa tunaambiwa Ronaldo mchoyo, Messi anagawia wenzake mapande.Uefa most assist
Nenda fb muulize atakujibu. Kwa hiyo wewe ukiwa unaenda kenya kila wiki utakua mkenya?Moroko alikuwa anafuata nini kila wiki?
Mtoto wa nunda, mtt wa mnyama mkali cr7
[emoji2] [emoji2]Ngoja waje wanazi wa Messi
Mviziaji tu yule
je wajua ronaldo kwa sasa ana magoli mengi uefa kuliko timu nzima ya barcaRonaldo ilimchukua mechi 855 kupata goli 600
Messi imemchukua mechi 747 kufikia magoli 600
na huko alipotoka ilikua ligi ya wanaume sio wakina getafe....Ronaldo imemchukua mechi 286 kufunga goli 300 la liga.
Wakati messi ilibid acheze mechi 324