Cristiano Ronaldo ni mchezaji hatari zaidi, takwimu hazidanganyi

Huu utetezi upeleke pale kisutu watakusikia tu jombaa, mahakimu na majaji wa pale hawana roho mbaya sana ujueee! Usiumie Sana!
 
Mwezi mmoja nyuma walikuwa wanamwita penadol..sasa hivi kimyaa..katika mechi 12 za mwisho kafunga magoli 23..yaani karibia wastani wa goli mbili kila mechi..
 
Huyu jamaa ana haters wengi sana ila yeye anaendelea na maisha yake na pesa ndefu anapiga sisi tunaomchukia tunabaki na vidonda vya tumbo na hatujui..kama mashabiki wa Juventus wanampigia makofi, mimi niko Katavi nimchukie si upuuzi huo..
Labda kwasababu hatembei sana na mpira na kuzunguka zunguka nao kwa mabeki wa timu pinzani.
Sifa ya mshambuliaji ni kufunga magoli mengi iwezekanavyo, hayo mengine ni madoido tu.
Messi ni mshambuliaji mzuri anastahili pongezi anapofunga, pia Ronado ni mshabuliaji bora na anastahili haki yake ya kusifiwa. jambo lingine lolote ni ushabiki binafsi wa mtu kwa mtu.
 

Mbona unachanganya mkuu! Ni nani aliekuambia Messi ni mshambuliaji? Na Suarez utasemaje?
 
Reactions: PNC
Huyu jamaa ana haters wengi sana ila yeye anaendelea na maisha yake na pesa ndefu anapiga sisi tunaomchukia tunabaki na vidonda vya tumbo na hatujui..kama mashabiki wa Juventus wanampigia makofi, mimi niko Katavi nimchukie si upuuzi huo..

Messi na Ronaldo yupi unamkubali? Achana na magoli!
 
Reactions: PNC
Nivizr kuwa na maneno ya akiba , sisi ni vitendo mwanzo mwisho.
 
Inakuwaje anaitwa mchezaji bora wa dunia ikiwa wanajiangalia wao ulaya peke yao?
Kwanini wasiangalia na ligi nyingine nje ya ulaya?
Kuna Afrika, Asia, Australia, Amerika ya kusini na kaskazini pia. Huku mbona kuna wachezaji wanakipiga zaidi ya hao wote?

Muda mwingine nahisi hata ile tuzo aliyopewa George Weah ni zuga tu ili na sisi waafrika tujione tupo kati ya waliopo.
 
Ona sasa!! Kwanini lakini?!!!
 
Kuna vitu Cr7 anavyo LM10 hana.
Kuna vitu LM10 anavyo Cr7 hana.

Hawa jamaa wate ni wakali. Ukiangalia sana utaona cr7 ni mkali afu hapohapo ukiangalia sana utaona king ni mkali.

Mimi nasema wote ni wakali. Ndio maana wanashindanishwa. Kinachozidi kwa mwingine ni mahaba tu.

Ukimuuliza Pep ni Mchezeji gani bora kabisa kwenye hii dunia. Atakuambia Messi!

Ukimuuliza Zizzou nani mchezaji bora kabisa humu duniani utamsikia Cr7!

Aarrrgghh mimi mnanichanganya. Mtajua wenyewe. Kwangu wote wakali
 
Ronaldo na rekodi mpya, Messi simuoni [emoji102]
 
Threads Zingine Zinasadifu Mashairi ya Ferouz -Starehe.

Unajikuta Umeweka mchango kumbe tayari ulishapita kitambo.

Ferouz-Starehe..!

"Onasasa Yaliyonikuta kwa dada yake bashiri/
Nilishasahau kama nishakuta naye kimwili/
Nilivyomuona nikamtongoza tena,tena kwa mara ya pili/

Ona sasa aah A."



CR7 Waweza Kumueelezea Kwa Umombo fungu tano:-

1-Never Say Die Attitude.

2-Strong Mentality.

3.Work Hard.

4.Talented

5.Selfish.
 
Ronaldo na rekodi mpya, Messi simuoni [emoji102]View attachment 1564030View attachment 1564032
Mkuu...

Naomba Unisaidie Hili la GOAT-Greatest Of All Time.

CR7-GOAT
Messi-GOAT
Pelle-GOAT
Maradona-GOAT.

Hawa ni baadhi ya Wachezaji ambao hupewa Jina hilo na Wachambuzi/Waandishi/Wadau & Washabiki Wa soka...

Wachambuzi wa Redio baadhi za Tanzania hutumia GOAT katika soka kwa kusema Mchezaji bora Wa Muda Wote..!


Naomba nisaidie hapo kwenye Muda/ All Time.


Wewe unailewaje GOAT...


Wa Muda Wote Manaake nini...


Nini Maana ya Muda...



Shukran!!!!!
 
CR7 "Insects Only Attack Lights That Shines"

Meseji Ya CR7 Mwaka 2017 Instagram baada ya Kukabiliwa na kesi ya Ukwepaji Kodi Spain..na Wanafiki Kurusha vijembe Kwa CR7.

What'sup Harmonize..

"One love kwa Wanangu wakitaa mnaonunua CD.
Two love kwa Wanafiki Wa insta Mnanifanya niongoze biidii."

Spain Kesi nyingi za Ukwepaji kodi Kwa Wachezaji na Makocha ni nyingi.

A Tax Country-Spain.


Na heshimu sana Juhudi na Mafanikio ya CR7.

IN MY Opinion-CR7 alikuwa anavutia sana kutazama akiwa dimbani Miaka 2004-2009.

Unapata buradani tena na tena ya kumtazama,Ilikuwa Kama Unatazama Mhuni Ricostrong anavyotanua Mapaja ya Victoria Cakes au Delvin Weed Only Prince anavyojipakulia Asali ya Nina rotti the Beautiful Ebony au kumtazama fala Lil d anavyokamatia ngongingo ya Ms London ndani ya Las Vegas.


Alivyobadilika na kuwa goal Mashine ndani ya laliga Spain ni jambo kubwa sana sana.


Kuna jamaa yangu nilimwambia baada ya kufatilia mazoezi yake Mwaka 2018,CR7 bado anamuda sana dimbani anafanya mazoezi si yakawaida Huyu bwana.


CR7 anapenda Uchi sana,anapenda Pussy/Nyapu/..

Kwa Waumini Wa Mzee wa Upako anapewa Jina Moja Tu-Mzinzi/Mwasherati/anapepo la ngono.


CR7-anauwezo wa kutumia miguu Yote.
-Anamashuti Makali Miguu yote.
-Ana nguvu za Mwili kubwa sana.
-AnUwezo Mkubwa Wa kuruka hewani
-AnUwezo Mkubwa wa Riadha.
-Mtu asiye na huruma ndani Ya 18
-Mtu asiye katatamaa uwanjani


Sir Alex aliulizwa anavyodai yeye ndani ya kitabu chake Autobiography 2013.

Nani bora Mess au CR7 Akapigapiga Chenga kutoa jibu la moja kwa moja.


Jose Mourinho yeye Kuulizwa Mess au Ronaldo akajibu Ronaldo Delima Brazil...


CR7 anavutia/kutia hamasa vijana Wengi katika Mafanikio yake Dimbani..
 
Mkuu kama ulivyosema

G. O. A. T ni abbreviation ya Greatest of All Time ambapo kiswahili chake ni Bora kwa muda wote

Hapa tunaongelea mchezaji/wachezaji wa soka, hivyo tunaongelea wachezaji bora wa muda wote

Kwa uelewa wangu Wachezazaji/Mchezaji Bora wa Muda/Wakati Wote ni wale wachezaji ambao kwa uwezo walionao/waliowahi kuwa nao iwe karne ya 5, iwe karne 10 iwe karne ya 20 ama karne ya 21 wataendelea kuimbwa mpaka pasipo ukomo.

Ni wale wachezaji ambao kwa uwezo wao wangeweza ku shine miaka 1950,miaka 1970, miaka ya 2000 ama miaka ya 2050. Hawa ni wachezaji ambao pengine hutokea baada ya kitambo kupita, mfano baada ya miaka 100 au 200 wanatokea mara moja (japo enzi za CR7 na Messi zimetoa exceptional). Hawa wachezaji huwezi kuwapata mara kwa mara.

Hawa ni wachezaji ambao walicheza mpira miaka 100 iliyopita lakini kupata habari zao au kuwasikia sio mpaka u Google, automatically wanatajwa tu, likitokea jambo flani kwenye soka anatajwa... Lisipotokea jambo flani kwenye soka anatajwa. Huyo/hao ni Greatest Players of All Time kwa mtazamo wangu.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…