nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Huu utetezi upeleke pale kisutu watakusikia tu jombaa, mahakimu na majaji wa pale hawana roho mbaya sana ujueee! Usiumie Sana!Kitu ambacho kwa wapenzi wa Ronaldo kama wewe huwezi sema kafunga magoli hayo baada ya Mechi ngapi.Mfano Ronaldo kafikisha goli 100 akiwa amecheza mechi 27 zaidi ya Messi.Swali je Messi akicheza hizo mechi 27 alizonazo mkononi zaidi ya mpinzani wake atakuwa na goli ngapi.Huwezi ongea hili,utaingelea wingi wa goli tu lakini huwezi jiuliza kafunga hizo akiwa kacheza mechi ngapi.Pole