JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Karibu sana mkuu.Mzee wa german car leo naona umeikubali crown kuna siku nitakuja kwako kutaka ushauri kwenye hizo german car yenye low running cost pamoja na ubora wa engine kwa saloon car
Mzee wa german car leo naona umeikubali crown kuna siku nitakuja kwako kutaka ushauri kwenye hizo german car yenye low running cost pamoja na ubora wa engine kwa saloon car
ushauri wangu hamia karibu uwe unatembea. Km27 kutoka home mpaka kazini ni umbali mrefu na hayo majini unayotaka kumiliki yatakupasua kichwa.nakaa umbali wa km27 had kufika kazini
Uniqueness labda ununue Bentley,lkn hizi entry level BMW,Benz,Audi ziko Kama zote.Hakuna uniqueness yoyote hapo 😄Naijua hiyo gari mzee nimeitumia Sana, nikaja kuiuza baada ya kuona kila mtu anayo, mi huwa napenda Sana uniqueness.....
Mpya zimeacha kutengenezwa 2016,atazipatia wapi mkuu?Kama unamiliki gari kwa mara ya kwanza chukua ist mpya kwanza. Usinunue used.
Sahihi, tatizo lake hua Ni pale tu kwny 180km/hCrown hainaga shida na mtu
Inakupa kila kitu at cheaper cost.gari yangu pendwa sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Uniqueness labda ununue Bentley,lkn hizi entry level BMW,Benz,Audi ziko Kama zote.Hakuna uniqueness yoyote hapo [emoji1]
Sahihi, tatizo lake hua Ni pale tu kwny 180km/h
mkuu Mimi hata nikitembelea BMW 3 series ya mwaka 2006 najiona niko very unique kuliko mtu anaetembelea crown[emoji16][emoji16]Uniqueness labda ununue Bentley,lkn hizi entry level BMW,Benz,Audi ziko Kama zote.Hakuna uniqueness yoyote hapo [emoji1]
Sahihi, tatizo lake hua Ni pale tu kwny 180km/h
Mbio za sakafuni huishia ukingoni!Kivipi mkuu?!
Hii ni chuma na nusu sema raia hawaielewi tuNje ya mada kidg mnyama mark x hayupo kabisa midomoni mwa watu sijui kwann
Nunua. JAGUAR XF kama unapenda UniqunessNaijua hiyo gari mzee nimeitumia Sana, nikaja kuiuza baada ya kuona kila mtu anayo, mi huwa napenda Sana uniqueness.....
Mark X imetamba sana kwa wakati wake ila taji liko kwa Crown kwa sasa. Hana mpinzani kwenye segmentHii ni chuma na nusu sema raia hawaielewi tu
Nimemshauri anunue Jaguar ili ainjoy vizuri UniquenessKwamba mwamba anatka awe na gari unique hahahhaha hao mastaa wenyew hawan
Sawa mkuu nitanunua[emoji16]N
Nunua. JAGUAR XF kama unapenda Uniquness
Hio gari sio Unique. Ukitaka Uniquness ununue gari ambazo atleast hazifiki 50 Tanzania nzima. Likes za Rolls Royce, Bentley, Lamborghini, Aston Martin, Lincolin, Jaguar, Volvo.mkuu Mimi hata nikitembelea BMW 3 series ya mwaka 2006 najiona niko very unique kuliko mtu anaetembelea crown[emoji16][emoji16]
Ukiona inakukera si unaondoa limiter inaenda mpaka 260 kphMbio za sakafuni huishia ukingoni!
Crown inaaccelerate faster but when it gets 180km/h ndio ukingo wake unaozungumziwa..
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
kwa hizi barabara zetu za tz speed 180 inatosha kabisa.Mbio za sakafuni huishia ukingoni!
Crown inaaccelerate faster but when it gets 180km/h ndio ukingo wake unaozungumziwa..
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app