Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
body laini sana, japo ziliwa kuitwa sukari ya warembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
body laini sana, japo ziliwa kuitwa sukari ya warembo
Kwa Njombe nakubali[emoji16] ila ule mkoa bwana nimekaa pale 2 years ila ukitoa hali ya hewa na misitu hakuna nilichokikubali.Ndio mkuu..... hata hizo crown zilizojazana huko town huku zipo za kuhesabia tu, huku watu wanatembelea Carina na Corolla na gx 100[emoji16]
Hayo Ndio magari sasa, sio unakimbia vitu vya mafuta kama kina DepalKila la heri mkuu, Machuma yenye maengine makubwa hata mimi nayaelewa sana.
Hiyo ndio chuma ya kwendaaa sasamkuu unamiliki Sheli nini[emoji3]
Mtakuja mfariji badae hapa 😀😀Tena apate cherysler 300c yenye hemi engine,hapo saluti nyingi sana kwake.
[emoji16][emoji16]kweli mkuu, ila ni mkoa ambao gharama za maisha ziko chini sanaKwa Njombe nakubali[emoji16] ila ule mkoa bwana nimekaa pale 2 years ila ukitoa hali ya hewa na misitu hakuna nilichokikubali.
Sana mkuu, kifua kikubwa ndio mpango mzima.Kila la heri mkuu, Machuma yenye maengine makubwa hata mimi nayaelewa sana.
Mbona mgahawani vyakula bei na kibaya[emoji16][emoji16]kweli mkuu, ila ni mkoa ambao gharama za maisha ziko chini sana
😄😄 Tutamwambia inatumia umeme mwingi so asijali khs wese 😄Mtakuja mfariji badae hapa 😀😀
Mtakuja mfariji badae hapa [emoji3][emoji3]
Itakuwa ulinunua JaguarNaijua hiyo gari mzee nimeitumia Sana, nikaja kuiuza baada ya kuona kila mtu anayo, mi huwa napenda Sana uniqueness.....
HIlo jini inapelekea wapi mkuu?😆😆Mtaalamu soon nitakucheki nipate Brevis moja matata hasa lile la cc 3000