BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Team ya Crown Media ni kama wapo serious na kazi kama watakuwa na consistency kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa atachange tasnia ya media bongo Tz(game changer).
King Kiba anastahili kupewa pongezi kuanzisha project kama hii sio jambo dogo licha ya uhitaji wa rasilimali muhimu kama fedha pia inahitaji uwe Smart kichwani kuweza kuorganize rasilimali watu kama watangazaji na other staff kuhakikisha everything is under control.