Crown Media ni kama wamepania sana

Crown Media ni kama wamepania sana

Vipindi vinavyoelimisha na kuburudisha!
Wao wana miziki tena ya kwao, refresh wanazungumzia maisha yao tu inshort ni chaneli ya familia
Una uhakika unapenda vipindi vya kielimisha au neno kuelimisha limekaa automatic kwenu wabongo, hata ukiulizwa unapenda nyimbo gani utasema za kuelimisha ila tukipitia file la music lako hatuwezi kuona nyimbo za 20 Cent.
 
Tumia akili mzee!
Kama TBC ipo kwanini Wasafi ilifunguliwa?

Hii ni biashara, maoni ni muhimu ili wajirekebishe kuvutia wateja kuingiza mpunga zaidi.
Wewe unatakiwa ujue kuna television zimebase kwenye burudani na kuna television za kuelimisha kama TBC, ITV na za burudani ni kama Clouds, Wasafi,efm, crown etc na hata upande wa kuajili zinatofautiana, hizi za media za kuelimisha wanaangalia Elimu but za burudani wanaangalia umaarufu wa mtu au talents rather than Elimu so ni ngumu ubadishe content zao
 
Kumbe ujaelewa hata nilikua nazungumzia nini!
Fanya ulale
 
Una uhakika unapenda vipindi vya kielimisha au neno kuelimisha limekaa automatic kwenu wabongo, hata ukiulizwa unapenda nyimbo gani utasema za kuelimisha ila tukipitia file la music lako hatuwezi kuona nyimbo za 20 Cent.
Wabongo hauwezi kuwatenga na unafiki ni kama Pete na kidole
 
Sijasikiliza redio mwaka wa 4 huu, hata sielewi mambo ya crown wala toyota ist.
 
Back
Top Bottom