BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Sio kweli wasikilizaji wapo wengi.Wasikilizaji wa radio kwasasa ni wachache sana..
Na wewe ulitaka waonyeshe nini ?😄Wasafi tv siku hizi naipita tu! Hawana cha maana wanachoonyesha!
Safi sana.mshamba media coming soon😁
tuombeane wadau
Swali zuriNa wewe ulitaka waonyeshe nini ?😄
Mfano nani mwenye talent kaajiriwa?Dunia ilipofikia, ukianzisha kitu kianze kwa kishindo na kwa kubwa wenye consistency.
Nawapenda wanaajiri talent sio taaluma
Vipindi vinavyoelimisha na kuburudisha!Na wewe ulitaka waonyeshe nini ?😄
Ukitaka vipindi vya kuelimisha kuna TBC1 mbona hamuifatiliiVipindi vinavyoelimisha na kuburudisha!
Wao wana miziki tena ya kwao, refresh wanazungumzia maisha yao tu inshort ni chaneli ya familia
Tumia akili mzee!Ukitaka vipindi vya kuelimisha kuna TBC1 mbona hamuifatilii
Umetumia vigezo gani? Waweza kutuwekea takwimu?Wasikilizaji wa radio kwasasa ni wachache sana..