Crown media uongozi wenu wa juu unatuchanganya hebu uwekeni wazi

Crown media uongozi wenu wa juu unatuchanganya hebu uwekeni wazi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,741
Mtu mmoja anaonesha ananafasi zaidi ya moja
Watuwekee uongozi ili tujue kila jambo mtu wa kumfikia
 
Attachments

  • IMG_7018.jpeg
    IMG_7018.jpeg
    267 KB · Views: 39
  • IMG_7017.jpeg
    IMG_7017.jpeg
    364.3 KB · Views: 29
  • IMG_7016.jpeg
    IMG_7016.jpeg
    461 KB · Views: 35
  • IMG_7015.jpeg
    IMG_7015.jpeg
    937.8 KB · Views: 33
  • IMG_7014.jpeg
    IMG_7014.jpeg
    255.3 KB · Views: 31
  • IMG_7013.jpeg
    IMG_7013.jpeg
    246.5 KB · Views: 34
Hawana organization structure!
Wanayo.. hapo nimeona kuna cheo kimoja tu ndo kimetokea kuwa na watu wawili. Raisi wa organization na chair man au CEO wanqweza kuwa watu wawili tofauti.

Kuna organogram president ni mkuu katika operation lakini yeye ni member wa Executive board. Hpo Chairman anatokea juu ya wanabodi wote wa Exec na huwez kunuona kwenye operational meeting na anatokea kwenye vikao vya mwaka tu
 
Wanayo ila haieleweki nani ni nani
Salim kikeke anaitwa mwekezaji naibu mkurugenzi na mkurugenzi
 
Back
Top Bottom