Crown Media yatengua uteuzi wa Salim Kikeke kama mtangazaji kiongozi wa 'Kasri'

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
UTENGUZI​

Kupitia kurasa Rasmi za Crown redio na Televisheni wamethibistisha kuwa Rais wa Crowm media ametengua uteuzi wa Kikeke kama kiongozi wa Kipindi cha " Kasri".

"Rais wa Crown Media Bw. Ali Salehe Kiba ametengua uteuzi wa Salim Kikeke kama Mtangazaji kiongozi wa kipindi cha Kasri kuanzia leo.

Kutokana na Utenguzi huo Bw. Salim Kikeke atapangiwa majukumu mengine.

Imetolewa na ofisi ya uhusiano na mawasiliano Crown Media".

1768409642710.png
 
Upuuzi mtupu. Eti katengua!
 
Kuna mambo mengine ya ******* sana. Wewe Kikeke na umaarufu wako wote, unakuja kuajiliwa na Ali Kiba! Mtu binafsi, tena mswahili wa manzese! Stupidity!
Alikuwa mfanyakazi huko UK, pesa ya mshahara ya wazungu japo inaonekana ni nying inaisha kutokana na matumizi ya hizo nchi,ili ufanikiwe ujiongeze kufanya biashara na yeye muda huo sidhani kama alikuwa nao.noma sana.
 
UTENGUZI​

Kupitia kurasa Rasmi za Crown redio na Televisheni wamethibistisha kuwa Rais wa Crowm media ametengua uteuzi wa Kikeke kama kiongozi wa Kipindi cha " Kasri".

"Rais wa Crown Media Bw. Ali Salehe Kiba ametengua uteuzi wa Salim Kikeke kama Mtangazaji kiongozi wa kipindi cha Kasri kuanzia leo.

Kutokana na Utenguzi huo Bw. Salim Kikeke atapangiwa majukumu mengine.

Imetolewa na ofisi ya uhusiano na mawasiliano Crown Media".
They’re incredibly stupid! Who cares?
 
Back
Top Bottom