Usipoongoza utaongozwa..shida zaidi ni pale unapoongozwa na WAPUMBAVU..ni kama Watanganyika tulivyokubali kuongozwa na MiCCMSema Kikeke kuajiriwa huku mtaani sidhani kama ipo sawa apambane atafute media zinazojielewa.
unaowasikiliza wana uhusika pale Crown ?Si walisema hicho ni kituo chake ?
At least this👆🏾 makes sense.Sema Mchengerwa kamtengua Salim Kikeke baada ya kumpa air time Mwandembo Clemence.
Hivi mmiliki wa hicho kituo mpaka leo hamjajuwa tuSi walisema hicho ni kituo chake ?
💯nimeicheki leo, kuna kitu aliuliza ambacho hakupaswa kuuliza ?
Sema anakuja kuajiriwa na chawa asiye na elimu halafu anaenda kuuliza maswali magumu anadhani bado yuko BBC?Utangaze BBC utoke halafu uje media za uchochoroni kama crown, hii akili ya wapi? Tena unaajiriwa na kijana mdogo asiye na elimu!