Upuuzi mtupu. Eti katengua!UTENGUZI
Kupitia kurasa Rasmi za Crown redio na Televisheni wamethibistisha kuwa Rais wa Crowm media ametengua uteuzi wa Kikeke kama kiongozi wa Kipindi cha " Kasri".
"Rais wa Crown Media Bw. Ali Salehe Kiba ametengua uteuzi wa Salim Kikeke kama Mtangazaji kiongozi wa kipindi cha Kasri kuanzia leo.
Kutokana na Utenguzi huo Bw. Salim Kikeke atapangiwa majukumu mengine.
Imetolewa na ofisi ya uhusiano na mawasiliano Crown Media".
Nilitaka kuuliza swali hilo hilo!Si walisema hicho ni kituo chake ?
Alikuwa mfanyakazi huko UK, pesa ya mshahara ya wazungu japo inaonekana ni nying inaisha kutokana na matumizi ya hizo nchi,ili ufanikiwe ujiongeze kufanya biashara na yeye muda huo sidhani kama alikuwa nao.noma sana.Kuna mambo mengine ya ******* sana. Wewe Kikeke na umaarufu wako wote, unakuja kuajiliwa na Ali Kiba! Mtu binafsi, tena mswahili wa manzese! Stupidity!
nimeicheki leo, kuna kitu aliuliza ambacho hakupaswa kuuliza ?Interview ya Clement
They’re incredibly stupid! Who cares?UTENGUZI
Kupitia kurasa Rasmi za Crown redio na Televisheni wamethibistisha kuwa Rais wa Crowm media ametengua uteuzi wa Kikeke kama kiongozi wa Kipindi cha " Kasri".
"Rais wa Crown Media Bw. Ali Salehe Kiba ametengua uteuzi wa Salim Kikeke kama Mtangazaji kiongozi wa kipindi cha Kasri kuanzia leo.
Kutokana na Utenguzi huo Bw. Salim Kikeke atapangiwa majukumu mengine.
Imetolewa na ofisi ya uhusiano na mawasiliano Crown Media".
mkata uzi Mkata uzi niwekee hiyo clip kama unayo badonimeicheki leo, kuna kitu aliuliza ambacho hakupaswa kuuliza ?
ExactlySema Kikeke kuajiriwa huku mtaani sidhani kama ipo sawa apambane atafute media zinazojielewa.