Crown ni kama pisi kali

Post M-alone

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
2,962
Reaction score
9,553
Crown ni gari ya maajabu sana, unaweza kukaa na genge lako la wajuaji mkaiponda sana mkaiita yebo yebo mara inaua, gari ya Taifa na kuisengenya saaana, Ebwana eeh ile umetoka tu kwenye kikao cha kuipondea ukaikuta road athlete inavyoteleza, mamaee halafu ukute sasa ipo kwenye hali nzuri unaanza kuona wale jamaa waliokuwa wanaiponda wote wa$*nge sasa ukiingia ndani na wewe mwenyewe unajiona mshamba tu. Crown ni kama pisi kali ambayo unaimiliki halafu unasikia mtaani na kwa marafiki kwamba huyo mwanamke ni kicheche, huyo mwanamke ni chama la wana, huyo mwanamke mama huruma, ila mzee mzima ukifika ndani unaufyata unapewa mautamu mpaka unaanza kusema yoote uliyoambiwa na rafiki zako..🤣🤣🤣, yaani unapewa utamu mpaka unatoa na hati ya nyumba😂😂😂, dah! Ile gari nimeshindwa kabisa kuilewa ni kama wajapan wameiwekea na hirizi😂😂. Jamaa zangu wawili tuliokuwa kwenye vikao vya kuipondea Crown wote wameishia kufunga nayo ndoa ya kikatoliki🤣😂🤣😂🤣😂.. Nimewacheka saaaanaa, usitukane mamba.......................
 

Wakija watu wenye BMW 3 series kuanzia 320i kwenda juu... Au gari yoyote ya mjerumani kuanzia Cc2000...

Mtatamani kuufuta huu uzi mfichame....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…