Crown ni kama pisi kali

Crown ni kama pisi kali

Suala zima la kuchanganya, bmw hizi 320 haiifuati athlete, sema tu top speed za mjerumani wote tunazielewa..

Hapa ndio wengi mnafeli...

3 series ni gear 6 mpaka 7, Ukiikuta hiyo ya gear 7 ni hatari tupu maana hapa BMW waliamua kwenda kuazima gearbox kwa VW....

Toyota Crown ni gear 4 tu....

Gearbox ikiwa na gear nyingi gari inachanganya faster ukilinganisha na yenye gear chache...
 
Ndio maana Land Cruiser ya 2022 inawachapa wapinzani kama wamesimama! Sio Escalade,Ford,Chevrolet,Nissan wala mpuuzi yeyote ambaye anamzingua kwenye Drag Race!

Labda wenye superchargers ila kwa Naturally aspirated hamna kiande anaesumba.
 
Hapa ndio wengi mnafeli...

3 series ni gear 6 mpaka 7, Ukiikuta hiyo ya gear 7 ni hatari tupu maana hapa BMW waliamua kwenda kuazima gearbox kwa VW....

Toyota Crown ni gear 4 tu....

Gearbox ikiwa na gear nyingi gari inachanganya faster ukilinganisha na yenye gear chache...
0-100 crown inachanganya fasta kuliko 320i, tusiwe wabishi jamani kisa ni bmw, kumbuka 320i ina top speed kubwa lazima gear ziwe nyingi kuliko athlete lakini 320i ikifikaga be above 100 huwa inachanganya taratibu, tuwe waelewa..
 
Umeshawahi kuendesha BMW 320i unakona utofauti?
Aisee sometimes kama hamjui mambo ya Magari ni Bora utulie tu
320i hizi za piston 4 uishindanishe na crown athlete? We ndio hujui gari mkuu, top speed ya 320i isikuchanganye mkuu, athlete inachanganya faster zaidi kuliko hio 320i, Kwanza 320i yenyewe kufuta kisahani huwa inafuta kwa shida mnoo.

320i itaanza kutamba baada ya athlete kufika kikomo 180, ila before hapo 320i ni mchumba tu, sijazungumzia bmw 3 series nazungumzia specific 320i usitufanye kama hatujui gari mkuu
 
Wewe jamaa bwana,unajijibu mwenyewe unajibishia mwenyewe..haya umeshinda.
 
Back
Top Bottom