Crown ni kama pisi kali

Ndio maana Land Cruiser ya 2022 inawachapa wapinzani kama wamesimama! Sio Escalade,Ford,Chevrolet,Nissan wala mpuuzi yeyote ambaye anamzingua kwenye Drag Race!

Labda wenye superchargers ila kwa Naturally aspirated hamna kiande anaesumba.
Huyu yukimpa RS4 atabaki anajamba jamba ana muona mwanaumee yuleee 😀😀😀
 
Hapa ndipo utaona kuwa life lina wenyewe, watu wanabishana raha ya magari wewe unawaza utajibana vipi ule mihogo ya 500/- na nauli ya daladala ibaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umasikini nadhani ni laana, usipojitahidi kujinasua utazikwa masikini kabisa[emoji848]

Kikubwa wanangu tufanye kazi kwa bidii na kuweka malengo, tutatoboa insha'Allah
 
Ila mafuta Sasa🙌

Achana na ile kitu crown aisee..Kule Japan ina heshima kubwa sana, recommend car for government officials in Japan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…