Crown ni kama pisi kali


I think wewe unazungumzia 316i au 318i.

Ila 320i mmmmmh labda kama ni kimeo.

Kuwa Cylinder nne has nothing to do acceleration,

Unataka kutuaminisha kwamba hiyo Athlete ya 2GR-FSE inamkalisha Golf GTI mwenye Cc2000?
 

I think wewe unazungumzia 316i au 318i.

Ila 320i mmmmmh labda kama ni kimeo.

Kuwa Cylinder nne has nothing to do acceleration,

Unataka kutuaminisha kwamba hiyo Athlete ya 2GR-FSE inamkalisha Golf GTI mwenye Cc2000?
 
Mfumo wa gear box ya BMW ni tofauti na athletes Acha kabisa kuhusu hiyo gari nduguuu!!!
Athletes kama zingekuwa na mfumo CVT transmission hapo ningeheshimu dhidi ya BMW
 
0-100 crown inachanganya fasta kuliko 320i, tusiwe wabishi jamani kisa ni bmw, kumbuka 320i ina top speed kubwa lazima gear ziwe nyingi kuliko athlete lakini 320i ikifikaga be above 100 huwa inachanganya taratibu, tuwe waelewa..
Mfumo wa BMW 320i wa gear box ni STEPTRONIC TRANSMISSION hii ni dual clutch Acha kabisaaa hiii mashine.
Sikuzote nguvu ya gear box inamata Sana Kwenye mwendo.
Pia yenyewe ina sports mode na pedal shifters yaani hapa ni hakuna cha athletes,mark X wala brevis.
Hata comfortability wajerumani ndiyo mambo Yao yaani full Raha Tu huku unachanja mbuga Tu mjerumani
 
Cjui hvyo vengine vengine ila ata Athelete ina Sports mode mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…