Crown ni kama pisi kali

Ongelea maisha halisi mzee! Hayo ya South Africa achia wenyewe this is Tz
 
Njoo nikupe lift kwenye VW golf 8 gti yangu dingilai uone raha ya ulaya,kitu spidi 360,halafu mziki mkubwaaaa wa kutoka haraman kadon,najua vile unayajua magari ila hutarudi tena misri (japan)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Golf 8 tena GTI mzee! You mus be making serious cash
 
🀣🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 

kuna gari zina 4 cylinders ni nyokooo, niliona kitu kama VW au Audi moja ina 4 cylinder na inategemea kumwaga 416hp kama sikosei wanaitoa mwaka huu


Six cylinders hasa inline hata ukiachana na suala la nguvu ni one of the best engine kwenye suala la balance... Ndio engine ambayo iko balanced kuliko engine yoyote. Hivyo hazinaga vibrations sana kama 4 cylinders.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…