JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
🤣🤣🤣🤣Its just a Toyota...talking from experience not hear say!
View attachment 1990596
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Its just a Toyota...talking from experience not hear say!
View attachment 1990596
Zipo nyingi. E90 N52 engine, E46 M52 engine.Ila six cylinder za 3 series Bongo.ni chache sana...
Kuanzia 323i ndio zinepewa 6 cylinders...
Itakuwa typing error matajiri hawazingatii sana wanapo andikaNdio hayo matatizo ya kuhadithiwa khs magari,golf 8 yenye speed 360 inapatikana nchi gani?
Na pia hakuna kitu kinaitwa Haraman kadon Ila Kuna kitu kinaitwa Harman Kardon.
kuna gari zina 4 cylinders ni nyokooo, niliona kitu kama VW au Audi moja ina 4 cylinder na inategemea kumwaga 416hp kama sikosei wanaitoa mwaka huuAcha izo. 4 cylinders kwaajili ya watoto.
😁😁😁 Matajiri wetu wa Tinde Hawa Ni changamotoItakuwa typing error matajiri hawazingatii sana wanapo andika
Ongelea maisha halisi mzee! Hayo ya South Africa achia wenyewe this is Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaongea magari unayoyaona tanzania tuu,mzee hiyo lc 300 au ndugu zake wanakimbizwa vibaya sanaaaa na huko ulaya hayajulikani achia mbali hapo South Africa,unaweza tembea joberg mpaka Pretoria ukaiona LC moja 1 tuuu,mzee Toyota ipo kwa ajili ya maskini na jamii za wapenda kubinuka kwenye michanga kama uarabuni,ila maisha ya wenye hela yapo yametulia kwenye Landlover, Benz, BMW, Audi,Porsche na ndugu zao wengine wa ulaya huko,mimi kuna gari mpaka hua nabaki mdomo wazi sijawahi ziona si tanzania wala East Africa hiii nilikotembelea,
Supercharged engines zenye 4 cylinder ni nyokokuna gari zina 4 cylinders ni nyokooo, niliona kitu kama VW au Audi moja ina 4 cylinder na inategemea kumwaga 416hp kama sikosei wanaitoa mwaka huu
Golf 8 tena GTI mzee! You mus be making serious cashNjoo nikupe lift kwenye VW golf 8 gti yangu dingilai uone raha ya ulaya,kitu spidi 360,halafu mziki mkubwaaaa wa kutoka haraman kadon,najua vile unayajua magari ila hutarudi tena misri (japan)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kelele za mpangaji hazizuii mwenye nyumba kulala. Sisi Team Germany akina Crown ni michepuko yetu. Siku wife kazingua natafuta mchepuko naenda nao chimbo natoa stress! ILA ukipata mwaliko classic,shughuli zote za kifamilia na mambo kama hayo wife ndio anahusika.
Kwahio mkuu usihofu hawa mashemeji zetu tunawaelewa,ni ngumu kukubali mtu anaemkaza dada yako! 😂😂😂😂😂😂😂
Labda yuko SA,UK,US ambayo hutakiwi kuwa millionaire kuendesha gari mpya kali.Golf 8 tena GTI mzee! You mus be making serious cash
Usiposhtuka zinakupa aibu na 6 cylinder yako nzuri tu 😀😀 ref: ScirrocoSupercharged engines zenye 4 cylinder ni nyoko
Ile ni balaa zito hata ile bmw mini nayo inasepa kama chopper😂Usiposhtuka zinakupa aibu na 6 cylinder yako nzuri tu 😀😀 ref: Scirroco
Eeh kwa huko sawa ila umatumbini hapa ni lazma uwe shujaaLabda yuko SA,UK,US ambayo hutakiwi kuwa millionaire kuendesha gari mpya kali.
kuna gari zina 4 cylinders ni nyokooo, niliona kitu kama VW au Audi moja ina 4 cylinder na inategemea kumwaga 416hp kama sikosei wanaitoa mwaka huu
Vibration sawa, tech inabadilisha sana mamboSix cylinders hasa inline hata ukiachana na suala la nguvu ni one of the best engine kwenye suala la balance... Ndio engine ambayo iko balanced kuliko engine yoyote. Hivyo hazinaga vibrations sana kama 4 cylinders.