Crown ni kama pisi kali

Crown ni kama pisi kali

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaongea magari unayoyaona tanzania tuu,mzee hiyo lc 300 au ndugu zake wanakimbizwa vibaya sanaaaa na huko ulaya hayajulikani achia mbali hapo South Africa,unaweza tembea joberg mpaka Pretoria ukaiona LC moja 1 tuuu,mzee Toyota ipo kwa ajili ya maskini na jamii za wapenda kubinuka kwenye michanga kama uarabuni,ila maisha ya wenye hela yapo yametulia kwenye Landlover, Benz, BMW, Audi,Porsche na ndugu zao wengine wa ulaya huko,mimi kuna gari mpaka hua nabaki mdomo wazi sijawahi ziona si tanzania wala East Africa hiii nilikotembelea,
Ongelea maisha halisi mzee! Hayo ya South Africa achia wenyewe this is Tz
 
Njoo nikupe lift kwenye VW golf 8 gti yangu dingilai uone raha ya ulaya,kitu spidi 360,halafu mziki mkubwaaaa wa kutoka haraman kadon,najua vile unayajua magari ila hutarudi tena misri (japan)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Golf 8 tena GTI mzee! You mus be making serious cash
 
Kelele za mpangaji hazizuii mwenye nyumba kulala. Sisi Team Germany akina Crown ni michepuko yetu. Siku wife kazingua natafuta mchepuko naenda nao chimbo natoa stress! ILA ukipata mwaliko classic,shughuli zote za kifamilia na mambo kama hayo wife ndio anahusika.
Kwahio mkuu usihofu hawa mashemeji zetu tunawaelewa,ni ngumu kukubali mtu anaemkaza dada yako! 😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 

kuna gari zina 4 cylinders ni nyokooo, niliona kitu kama VW au Audi moja ina 4 cylinder na inategemea kumwaga 416hp kama sikosei wanaitoa mwaka huu


Six cylinders hasa inline hata ukiachana na suala la nguvu ni one of the best engine kwenye suala la balance... Ndio engine ambayo iko balanced kuliko engine yoyote. Hivyo hazinaga vibrations sana kama 4 cylinders.
 
Back
Top Bottom