Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Zelensky yupo bize akipost jinsi anavyomlipua mrusi sijui anacheza game gani huko PS5 au atakuwa na Xbox??Namna mabepari wa kimagharibi walivyoiacha kwenye mataa Ukraine ktk kipindi ambacho kila kukicha maelfu ya raia na askari wake wanauawa, wanajeruhiwa, miji yageuzwa majivu na vifusi, miundombinu muhimu yaangamizwa, mamilioni ya raia waenda ukimbizini
View attachment 2163856
View attachment 2163875View attachment 2163878View attachment 2163882View attachment 2163887
View attachment 2163885
Watu wake wanaumia Sana! Na baridi bado Kali huko