Namna mabepari wa kimagharibi walivyoiacha kwenye mataa Ukraine ktk kipindi ambacho kila kukicha maelfu ya raia na askari wake wanauawa, wanajeruhiwa, miji yageuzwa majivu na vifusi, miundombinu muhimu yaangamizwa, mamilioni ya raia waenda ukimbizini
Kwa hiyo USA ndio huleta fujo,machafuko,mapinduzi,uonevu na Kila aina ya hujuma hapa duniani.
Ingekua ni kikundi tungekiita kikundi Cha Kigaidi, Sasa nchi USA tuiite taifa lakigaidi?