Crown vs Brevis

Crown vs Brevis

Mbona logo ya crown sio kama hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]! Acha kutufanya hatuijui logo ya Crown
 
Mbona logo ya crown sio kama hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]! Acha kutufanya hatuijui logo ya Crown
Acha ubishi wa kijinga wewe. We unafikiri crown ni gari mchezo mchezo.
 
Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    36.4 KB · Views: 41
Crown kibongoo-bongo mtu akiendesha anaona kayapatia
Wanakuwa wameyapatia kwa level yao.. unaeza endasha Range Rover .. na ukakuta mwingine anaendesha Bentley Continental GT , mwingine utamkuta na Rolls Royce na mwingine 😃😃😃 Heshimu na kushukuru kwa level uliyo nayo.. na heshimu kila mtu katika level aliyo nayo maana huwezi jua ametumia nguvu gani kupata hiyo gari ..
 
Wana nzengo mpo? Mlionunua hizi gari za kifahari za kijapan, brevis na crown endeleeni kutupa ushuhuda
 
Wana nzengo mpo? Mlionunua hizi gari za kifahari za kijapan, brevis na crown endeleeni kutupa ushuhuda
Kwa wale wenzangu wenye kipato cha kuunga unga hili Brevis achana nayo hasa CC 3000 utaiuza na haiuziki kwa bei nzuri.
 
Back
Top Bottom