Crown vs Brevis


Mbona logo ya crown sio kama hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]! Acha kutufanya hatuijui logo ya Crown
 
Crown kibongoo-bongo mtu akiendesha anaona kayapatia
Wanakuwa wameyapatia kwa level yao.. unaeza endasha Range Rover .. na ukakuta mwingine anaendesha Bentley Continental GT , mwingine utamkuta na Rolls Royce na mwingine πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Heshimu na kushukuru kwa level uliyo nayo.. na heshimu kila mtu katika level aliyo nayo maana huwezi jua ametumia nguvu gani kupata hiyo gari ..
 
Wana nzengo mpo? Mlionunua hizi gari za kifahari za kijapan, brevis na crown endeleeni kutupa ushuhuda
 
Wana nzengo mpo? Mlionunua hizi gari za kifahari za kijapan, brevis na crown endeleeni kutupa ushuhuda
Kwa wale wenzangu wenye kipato cha kuunga unga hili Brevis achana nayo hasa CC 3000 utaiuza na haiuziki kwa bei nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…