Wakenya wameombwa kuwa alert baada ya World Health Organization na Ministry of Health Kenya kutoa advisory kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kwenye cruise ship iliyokuwa na abiria kutoka mataifa 23 tofauti.
Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya tarehe 8 May 2026, hadi sasa kuna cases 8 — five confirmed na three suspected — huku watu 3 wakifariki. Virus hiyo ilithibitishwa South Africa baada ya wagonjwa kutoka kwenye Dutch-flagged cruise ship kuonyesha severe respiratory illness.
Serikali ya Kenya sasa imeagiza counties zote kuongeza surveillance especially kwa airports na border points. Pia counties zimeambiwa ziandae quarantine na isolation centres mapema kabla hali haijawa mbaya.
Hantavirus huenea mostly kupitia contact na mkojo, mate ama kinyesi cha rodents kama panya. Dalili ni pamoja na fever, chills, headache, vomiting, diarrhoea na breathing difficulties. Experts wanasema early treatment inaweza kusaidia kuokoa maisha.
Wakenya sasa wanaombwa kudumisha cleanliness kwa nyumba na workplaces, kufunga openings zinazowaruhusu panya kuingia, na kuhakikisha proper hygiene practices zinafuatwa. Serikali pia imeonya watu wasi-sweep dry rodent droppings bila disinfecting area kwanza.
Swali kubwa kwa wananchi ni: Je, Kenya iko prepared vya kutosha kuzuia another health scare kabla haijasambaa?