ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
Nitarudi kuchungulia hii comment π πNaona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .
She's so Unique , calm beautiful with brain muda mwingine natamani niondoke Jf ila nikiwaza ID yake na comment zake nzuri nitaziona wapi basi narudi Jf automatically .
Akiiona hii comment lazima ataweka reaction ya π₯° au π
π₯π₯π₯π₯π₯ SafiiiiKwenye ujengaji wa hoja
Kiranga
Infropreneur
Scars
dosho12
binti kiziwi
Robert Heriel Mtibeli
Mshana Jr
Pascal Mayalla
LUMUMBA , kidogo tag yangu imeshindwa kumpandisha
Nimeona ila wasipofungua uzi hawatojua kama umewataja.
Nimecheza kama Olise mpira nimeupiga cave , nimeacha goli kipa ahangaike nao π πNitarudi kuchungulia hii comment π π
Sawa babeNimeona ila wasipofungua uzi hawatojua kama umewataja.
Wamention tena kwenye comment
Refa gani wewe chafujoπ€£π€£π€£Enheee! zipigwe sasa,mshindi ndio aondoke na chake,
Refa nipo hapa.
Mods nao wamenipandishia lumumba wa kikuuπ₯π₯π₯π₯π₯ Safiiii
π€£π€£π€£Nipo kwa I'd hii shindii
Jidanganye ππ€£π€£π€£
Shindii yule alikuwa mbaba sio mkaka. Last seen yake naona ni Feb 2026.
Hiyo ni moja ya sifa ya refa sasa,Refa gani wewe chafujoπ€£π€£π€£
Hiyo list tumeikataa, muache huyo namba moja tu ndio najua ni crush wako. Acha ulayama mjukuuπ€£π€£π€£
Astaghafilullah π€£π€£ ShenziiiiHiyo list tumeikataa, muache huyo namba moja tu ndio najua ni crush wako. Acha ulayama mjukuuπ€£π€£π€£
Unamtaja humu kumbe yupo kifuani kwa mwamba wa humu humu wanakuchora tuπ€£Tukiwa tunachat PM hana noma ila humu jukwaani nikimwita babe ananiambia nijiheshimu, we dada mi nakuchana tu malipo hapa hapa ahera kuhesabiwa.
π€£π€£π€£π€£ shindii crush wako nimeona ana crush wake bwanaπββοΈπββοΈπββοΈJidanganye π
Hahahaha,wazee wa zamani tutulie kwanzaMambo ni moto
HahahahaUnamtaja humu kumbe yupo kifuani kwa mwamba wa humu humu wanakuchora tuπ€£
Sina crush wa unavyofikiri shindiiπ nina wanangu wa nguvu tu, ππ€£π€£π€£π€£ shindii crush wako nimeona ana crush wake bwanaπββοΈπββοΈπββοΈ