lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,359
mkuu,consciousness inakuwa processed na nini kama sio mind......?? unaelewa lakini...mind inaweza kuwa conscious au subconscious au semi-conscious depending na mazjngira mwili ulipo......Licha ya maelezo mazuri na marefu yenye kuelimisha, lakini kuna mkangayiko kwavmujib wa ulichokiandika.
Unasema "...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."
Uhai unabaki kuwa uhai, hakuna mbadala wake. Vinginevyo mtu aliyepandikizwa hiyo chip asingekufa kwa sababu hiyo chip haifi.
huwezi ukawa hai if at all consciousnes haipo katika mind....ukifanya total mind apload tayari unakuwa umehamisha ufahamu( consciousness)...that's why unapoinduce microchip kwa ajili ya kuwa inahack awareness unaweza ukaisoma na kuihamisha kwa system.
Watu wameshafika mbali mkuu,sema mambo mengi yapo closed