Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.
Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali ya kawaida.
Hii inatokana na imani ya kwamba katika miaka ijayo, Binadamu watakuwa na uwezo wa kurudisha maisha ya watu waliofariki.
Hivyo, watu wengi hasa matajiri, kabla ya kufa hutoa order yao kwamba akifa ahifadhiwe huko, ili ikitokea siku Binadamu akafanikisha kurudisha uhai kama wanavyotumaini basi nao wawe moja yao kati ya hao.
Wapo wengi waliohifadhiwa huko akiwemo, Walty Elias Disyney, mmoja Kati ya waanzilishi wa kampuni ya kutengeneza films, ya Walty Disyney.
CHIMBUKO LAKE
Mtu wa kwanza aliyekuwa amehifadhiwa katika mfumo huu wa "Cryogenically frozen" alikuwa mwanasaikolojia mwenye umri wa miaka 73, Dk. James Bedford, ambaye aligandishwa mwaka wa 1967. Mwili wake mpaka sasa bado una hali nzuri huko Alcor Life Extension Foundation.
Nadharia ya watu waliohifadhiwa na kisha akafufuliwa wakati teknolojia ikiwa mbali sana kutokana na kitabu "THE PROSPECT OF IMMORTALITY" kilichoandikwa na mtaalamu wa fizikia Robert Ettinger mwaka wa 1964. Neno "cryonics" linatokana na Neno la Kigiriki kwa "baridi."
Mwishoni mwa miaka ya 1970, kulikuwa na makampuni sita ya cryonics nchini Marekani. Lakini kulinda na kudumisha kila mwili kwa muda usiojulikana ilikuwa bei mbaya sana, watu wengi wa makampuni haya walipiga pesa za maana kwa miaka kumi mfululizo.
Leo, watu wachache tu wa makampuni hutoa huduma kamili za cryosuspension, ikiwa ni pamoja na Alcor Life Extension Foundation huko Arizona na Taasisi ya Cryonics huko Michigan. Mapema mwaka 2004, Alcor alikuwa na wanachama zaidi ya 650 na wagonjwa 59 katika cryopreservation.
===
Cryonics is the practice of freezing and storing human remains at low temperatures in the hope that they can be revived in the future. The word comes from the Greek words krýos, meaning "icy cold, frost", and -onic.
The process is based on modern science and involves several steps:
1. Legal death: The process begins when a dying person experiences cardiac arrest and can be legally declared dead.
2. Stabilization: Breathing and blood circulation are temporarily restored artificially.
3. Packing: The body is packed in ice and shipped to a cryonics facility.
4. Blood replacement: Blood is drained and replaced with cryoprotective agents and antifreeze.
5. Chamber: The body is placed in a chamber filled with liquid nitrogen.