Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

Ni ubunifu wa mradi wa uhakika wa kula pesa za marehemu.
Kama ningekuwa na dola 200,000 basi tumaini langu ningeliweka kwa hawa watu, kuliko kuwa na imani kwamba watu wote tutafufuliwa na Mungu ambaye mpaka sasa ameshindwa kuonekana zaidi ya kufikirika tu.
 
𝗚𝗲𝗿𝗺𝗮𝗻𝘆 𝗶𝗺𝗲𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗴𝗮𝗻𝗱𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗺𝗶𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗶𝗳𝘂𝗳𝘂𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝗶𝗷𝗮𝘆𝗼

View attachment 3256039

Kuna siku niliwaambia kuhusu watu kutaka kugandisha miili ya watu iliyokufa na kutaka kuifufua miaka ijayo, hatimaye Nchi ya Germany imeanza Rasmi kazi hii ya kugandisha miili na kuifufua.

Uanziishaji huo wa cryonics Berlin ambapo wamelipa jina la Tomorrow Bio, inatoa huduma ya kuhifadhi mwili wako kwa ada ya Dola $200,000.

View attachment 3256040

Kampuni Hiyo imefanikiwa kuwavutia wateja zaidi ya 650 tayari wameshasajiliwa na kuendesha huduma hii maalum ili kuanzisha mchakato wa kuhifadhi cryopreservation haraka iwezekanavyo.

Lengo lao ni kuwezesha wale watu watakaokufa kuweza kugandisha miili yao na kufufuliwa tena miaka ijayo.

View attachment 3256042
Mochwari zitakosa wateja
 
Ukifa ndio imetoka hio
Gemini_Generated_Image_v8lbq1v8lbq1v8lb.jpeg

Mufti kuku The Infinity The Mongolian Savage BICHWA KOMWE - DR SANTOS
 
Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.

Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali ya kawaida.

Hii inatokana na imani ya kwamba katika miaka ijayo, Binadamu watakuwa na uwezo wa kurudisha maisha ya watu waliofariki.

Hivyo, watu wengi hasa matajiri, kabla ya kufa hutoa order yao kwamba akifa ahifadhiwe huko, ili ikitokea siku Binadamu akafanikisha kurudisha uhai kama wanavyotumaini basi nao wawe moja yao kati ya hao.

Wapo wengi waliohifadhiwa huko akiwemo, Walty Elias Disyney, mmoja Kati ya waanzilishi wa kampuni ya kutengeneza films, ya Walty Disyney.

CHIMBUKO LAKE
Mtu wa kwanza aliyekuwa amehifadhiwa katika mfumo huu wa "Cryogenically frozen" alikuwa mwanasaikolojia mwenye umri wa miaka 73, Dk. James Bedford, ambaye aligandishwa mwaka wa 1967. Mwili wake mpaka sasa bado una hali nzuri huko Alcor Life Extension Foundation.

Nadharia ya watu waliohifadhiwa na kisha akafufuliwa wakati teknolojia ikiwa mbali sana kutokana na kitabu "THE PROSPECT OF IMMORTALITY" kilichoandikwa na mtaalamu wa fizikia Robert Ettinger mwaka wa 1964. Neno "cryonics" linatokana na Neno la Kigiriki kwa "baridi."

Mwishoni mwa miaka ya 1970, kulikuwa na makampuni sita ya cryonics nchini Marekani. Lakini kulinda na kudumisha kila mwili kwa muda usiojulikana ilikuwa bei mbaya sana, watu wengi wa makampuni haya walipiga pesa za maana kwa miaka kumi mfululizo.

Leo, watu wachache tu wa makampuni hutoa huduma kamili za cryosuspension, ikiwa ni pamoja na Alcor Life Extension Foundation huko Arizona na Taasisi ya Cryonics huko Michigan. Mapema mwaka 2004, Alcor alikuwa na wanachama zaidi ya 650 na wagonjwa 59 katika cryopreservation.

===

Cryonics is the practice of freezing and storing human remains at low temperatures in the hope that they can be revived in the future. The word comes from the Greek words krýos, meaning "icy cold, frost", and -onic.

The process is based on modern science and involves several steps:

1. Legal death: The process begins when a dying person experiences cardiac arrest and can be legally declared dead.
2. Stabilization: Breathing and blood circulation are temporarily restored artificially.
3. Packing: The body is packed in ice and shipped to a cryonics facility.
4. Blood replacement: Blood is drained and replaced with cryoprotective agents and antifreeze.
5. Chamber: The body is placed in a chamber filled with liquid nitrogen.
Dah mkuu Kanungila long time jamvin. Za moro? Last seen may 2023. Hope everything is alright. Sisi bado tupo humu na kina adriz. Dogo anakera balaa kaniaribia Santana jamvin na sitamuacha maamaee al be his nightmare forever l.

Nyambulet Nyangwisi Maarasmitayo

Nyau de adriz
 
Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.

Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali ya kawaida.

Hii inatokana na imani ya kwamba katika miaka ijayo, Binadamu watakuwa na uwezo wa kurudisha maisha ya watu waliofariki.

Hivyo, watu wengi hasa matajiri, kabla ya kufa hutoa order yao kwamba akifa ahifadhiwe huko, ili ikitokea siku Binadamu akafanikisha kurudisha uhai kama wanavyotumaini basi nao wawe moja yao kati ya hao.

Wapo wengi waliohifadhiwa huko akiwemo, Walty Elias Disyney, mmoja Kati ya waanzilishi wa kampuni ya kutengeneza films, ya Walty Disyney.

CHIMBUKO LAKE
Mtu wa kwanza aliyekuwa amehifadhiwa katika mfumo huu wa "Cryogenically frozen" alikuwa mwanasaikolojia mwenye umri wa miaka 73, Dk. James Bedford, ambaye aligandishwa mwaka wa 1967. Mwili wake mpaka sasa bado una hali nzuri huko Alcor Life Extension Foundation.

Nadharia ya watu waliohifadhiwa na kisha akafufuliwa wakati teknolojia ikiwa mbali sana kutokana na kitabu "THE PROSPECT OF IMMORTALITY" kilichoandikwa na mtaalamu wa fizikia Robert Ettinger mwaka wa 1964. Neno "cryonics" linatokana na Neno la Kigiriki kwa "baridi."

Mwishoni mwa miaka ya 1970, kulikuwa na makampuni sita ya cryonics nchini Marekani. Lakini kulinda na kudumisha kila mwili kwa muda usiojulikana ilikuwa bei mbaya sana, watu wengi wa makampuni haya walipiga pesa za maana kwa miaka kumi mfululizo.

Leo, watu wachache tu wa makampuni hutoa huduma kamili za cryosuspension, ikiwa ni pamoja na Alcor Life Extension Foundation huko Arizona na Taasisi ya Cryonics huko Michigan. Mapema mwaka 2004, Alcor alikuwa na wanachama zaidi ya 650 na wagonjwa 59 katika cryopreservation.

===

Cryonics is the practice of freezing and storing human remains at low temperatures in the hope that they can be revived in the future. The word comes from the Greek words krýos, meaning "icy cold, frost", and -onic.

The process is based on modern science and involves several steps:

1. Legal death: The process begins when a dying person experiences cardiac arrest and can be legally declared dead.
2. Stabilization: Breathing and blood circulation are temporarily restored artificially.
3. Packing: The body is packed in ice and shipped to a cryonics facility.
4. Blood replacement: Blood is drained and replaced with cryoprotective agents and antifreeze.
5. Chamber: The body is placed in a chamber filled with liquid nitrogen.
Hii Dunia vituko haviishi
 
🤣 Kumbe nao Wana saccos 🥴
Wewe huoni wanakuambia lipa kabla hujafa kila mwezi makato juu kwa juu
Hivi mtu akifa unafikiri wenye kampuni watakubali wafungue freezer hewa itoke kisa unachungulia ndugu kama yumo? 😆 😂

Saccos yao kiboko
 
Back
Top Bottom