CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki ilopita lkn kwa sasa ni takataka(trash coin)

Acheni kudanganywa nyinyi pesa ni ile physical izo nyengine ni utapeli tu huo

ukibisha bisha kwa ukorofi wako lkn huo ndo ukweli
Ni aina fulani ya kamari hambayo hairuhusiwa katika uislam kama zilivyo kamari zingine so kamakuna wanaojiita waislam huko wajue wanawekeza kwenye Haramu
 
Ni aina fulani ya kamari hambayo hairuhusiwa katika uislam kama zilivyo kamari zingine so kamakuna wanaojiita waislam huko wajue wanawekeza kwenye Haramu
Acha umasikini wa fikra na kutisha watu..acha watu wasake pesa umasikini baki nao wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni aina fulani ya kamari hambayo hairuhusiwa katika uislam kama zilivyo kamari zingine so kamakuna wanaojiita waislam huko wajue wanawekeza kwenye Haramu
Unaweza kuelezeq kivipi ni kamari ?
 


Stable coin inakuwaje pegged na unstable coin>>luna, btc nk zilikuwa zinatumika kama reserve, kumbuka walinunua btc za dollar bilioni 1.5 na ndio maana baada ya luna kuyumba na wao inasadikika wakajiuzia zao ile reserve ya btc ndio maana market yote ilicrash

Ngoja nikusaidie, kwanza kabisa terraUst walifeli kwenye apy inayotelewa kama incentive kwa stakers, 20% ni kubwa sana kwa stable coin
Kitaalamu mpaka hapo ni tayari ilikuwa ponzi

Pili elewa kabisa kwamba stable coin au most of currency zinazotumika huku kwenye real world zinakuwa pegged against usd
Protocol ilivyokuwa inafanya kazi ni kwa kuhakikisha kila Ust inavyokuwa deppegged against usd inabidi watrade Ust in exchange to 1$ in luna kwa wale waliowahi kufanya arbitrage trade kwa kutumia flash loans watakuwa wananielewa hapa

Tunaposema Ust deppeged from Usd ina maana imeshuka kwa kiwango chake mfano 1Ust = 0.98$
Kwa kila luna ya 1$ atayoipata yule aliyetrade against ust atakuwa na faida ya 0.02$, kwa kufanya hivi unapunguza circulation ya Ust>>>luna mint

Na ikatokea Ust ikapanda zaidi ya 1$ hivyo basi utaruhusiwa kuitrade against 1$ in luna ambapo kwa kila1$ ya luna utapata faida kiasi na hii ilikuwa inaongeza circulation ya Ust kwenye market>>>Ust mint

Kilichotokea ni withdrawal kubwa ya Ust ilifanyika kwenye curve finance na zile ust zilikuwa traded against usdc hii ilileta hofu kwa stakerswa Ust kwenye anchor protocol, hivyo na wao wakaanza kufanya withdrawal kwenye anchor protocol na njia mojawapo ilikuwa ni ya kupitia Ust-luna pair kwa sababu na luna yenyewe tayari inashuka thamani tayari unakuta mtu akitaka apata ile value ya 1$ ya luna inabidi kiwango cha kumint luna kiongezeke na hii ikawa inaongeza circulation ya luna

Ndio maana zote zili collapse kwa mara moja
Uzuri ni kwamba ust ilishuka mpaka 0.38 na ikarudi tena kwenye 0.98$ kwahiyo nna uhakika raia waliokuwa makini walisalimika

Huwezi ukaingia kwenye crypto usipate hasara.Lazima ujifunze kwa njia ngumu ili kesho usirudie makosa pia huwezi ukamsikiliza mtu hivi vyote utafundishwa sokoni na mimi nilijifunzia huko, na mwisho siwezi nikamlaumu ontario maana anajitahidi kusupport portfolio yake
 
Wizi tu!! Ni utapeli kitu kama Bill gate akifanyi jua wewe ndo fursa yenyewe!! Akuna Duniani mtu anaweza kudownload mahela kwa kuklick mouse
 
Dahh wabongo tuna shida sana . sasa mkuu badala ya kujibu swali unatoa vijembe[emoji23]

Jamaa na yeye haekewi chochote stable coin inaitwa terraUst lakini kwenye maelezo yake nnaona anaing’ang’ania luna[emoji28][emoji28]
 
Jamaa na yeye haekewi chochote stable coin inaitwa terraUst lakini kwenye maelezo yake nnaona anaing’ang’ania luna[emoji28][emoji28]
Watu kama wewe mnaosoma vitu nusu nusu ndo mnaishia kujiabisha kwa kuongea mambo msoelewa.

Kwenye andiko langu nmesema Luna iko based on UST ambayo ndo Stable coin lkn ni algorithmic based tofauti na USDT, na hio UST ndo inatumika kuwithdraw Luna. Na concept nzima ya Luna ilibase kwamba UST haitokuja kushuka chini ya 1 usd kitu ambacho kimekuja kumaliza Luna baada ya UST kupoteza 1 usd peg. Sasa sijui wewe unaongelea madudu gn, au niquote mahala nliposema uongo. Mambo hamuelewi na bado hamtaki kusoma, anyway hao ndo wabongo

Kwenye Terra blockchain network UST ni sawa na USDT kwenye etherium network na zote zilitengenezwa kuwa stable coins ili kutumika kwenye kuweka na kutoa coin japo UST is no longer. Kwa mlinganisho huo tunaweza sema Luna ni sawa na Tether in their purposes
 
Yan umeanza kuandika tu ukaandika trash.

Hivi wewe unajua TerraUSD (UST) ilikua inapataje stability?

Nikusaidie kitu, TerraUSD ni Algorithmic Stable coin. Hio minting unayoelezea hapo ni too fvckin basic, algorithm inayotumika kutoa stability kwa UST iko very complicated but in its core inatumia reserve ya Bitcoin pamoja na crypto nyngne kumantain hio 1 usd peg.

Sasa kama reserve kubwa inayotumika ni ya BTC na btc ikapoteza thamani kiwango kikubwa ghafla unategemea nn kingefuata?, probably ni deppeg coz hata kama wangetumia BTC zao kufanya minting isingesaidia kitu coz BTC ilikua ishapoteza value yake saaana, kilichofuata wajanja wakaanza kuwithdraw Luna na hilo ndo likaongeza majanga zaidi, na ndo maana watu walimfuata kwon hadi kwake wakihofia yy na wengine walianza kuwithdraw Luna baada ya kuona alarming conditions.

Hata mtoto wa darasa la nne ukimuelezea hivo ataelewa. Sasa wewe unakuja hapa unajaza terms nyiiingi zisizo za lazima kuelezea namna ambayo hauelewi unachoelezea, pathethic......

Anyway kama ukiniquote tena ongea point, sio upuuzi uloandika hapo juu
 
Mkuu hawa ndio wanatuhumiwa kuiletea majanga hii coin
Watu walinunua wakawahi ku-sell in bulk af jamaa ndo anakuja kuwatolea mfano hapa, anadhan wana capital ya usd 1000. Hawa walijua Luna ni kitu gn haswa ndo maana walikua macho na ku-act on time
 
Kama ulifanya Notcoin ukapata Hela ya kula ukafanya Dogs ukapata Hela ya simu mpya basi njoo ufanye hii mpya ujipate kimaisha this time tunaifanya 100% na kwa atayekosa 1,000$+ basi huyo kamwe sio mpambanaji


Project zote mbili zimeletwa na timu hiyo hiyo ambayo imepika mchongo huu basi join chap then kaa nasi tukupe mbinu za kukusanya mkwanja mrefu


Join kupitia hii link na si nyingine kuwa makini na fake links

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…