Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
the same ilitokea kweny onyxcoin mpaka ikatolewa nje ya soko maana wale viongozi walidump billion za coins ikadrop sana
 
Hivi kuna memecoin ambaya ilishawahi kuvuta $0.5 and stayed above for a while.
 
Iva naweza pata binary setup ya crash and boom kama indicators kwa kutumia androids
 
Hold hold hold .....


Mimi siuzi Shiba Inu mpaka 2030....


Nasema hivi msimsikilize huyu na mimemko yake ,Hana analolijua kuhusu crypto .....

Shiba Inu inapanda na kushuka but baada ya miaka 10 haitakuwa hapo .....

Sisi wabongo tunataka utajiri wa haraka haraka Kama mtoa mada lazima tupoteane ..

Hold hold hold ....

The future is crypto
 
Ziki change gia angani kama shiba??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi sio mtu wa ku hold.. nkiona kuna faida imepatikana nachomoa naenda to another promising coin..
Kwa sasa promising coin ni zipi mkuu?
 
Kwa sasa Kuna alot of fear kwenye shiba inu coin. Ndio muda mzuri sasa wa kubuy
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…